Msema kweli mpenzi wa MunguNmewahi kusingizia mtu kitu na nimewahi kusingiziwa vitu.
Kipindi nipo shule ya msingi nilikuaga nilikuaga naishi na mamaangu tuu kwenye chumba cha kupanga..
siku moja mama akaenda mkesha kama kawaida yake alikuaga anaondoka saa nne usiku ananiamsha alafu nafunga mlango nalala sasa sijui siku hiyo mawenge ya usingizi maskini kumbe sikufunga mlango. Mida ya sasaba nikashtuka usingizini nje kuna makelele nikasikia sauti ya mama angu anaongea kama anataka kulia nikaamka nikakaa nikasikia wanajibizana nje eti uyo mwanao si atoke nje aongee duuh moyo ukafanya paaa!! Nikajiuliza maswali mengi kwa mda mfupi sikupata majibu.
Nikatoka nje nimefunga kanga begani ndo nikashangaa mamangu analia watu wakaanza kuniuliza wewe umeanza lini mahusiano na huyu kaka hee!! ni wa chumba cha jirani yetu kumbe yaan hakuwahi nitongoza wala kunikosea adabu, kumbe siku hiyo mama angu anavorudi mkesha na yeye ndo alikua anaingia ndani lakini mama alijua ametoka kunibaka majirani wakasema atakua bwana angu mda mrefu
Yaan mbaya zaidi yule kaka alikua amegeuza boxa aliyovaa wakawa wanammulika wanasema tumefanya mapenzi daah niliumia sanaa
Baadae nikaamua kuongea nikawaambia ukweli kua sijalala nae wakasema ameingiaje nikawaambia ntakua sikufunga nilivoshwa na mama yaan hawakuniamini kabisa nikapanik kuna mbaba nakumbuka akasema atanipiga vbao eti namtetea bwana angu yaan nilichukia nikamwambia niguse kama umenima nimetoka kulalwa nilikua na ujeuri wa balehe ule basi tukabishanaaa mwisho kila mtu akarudi kwake.
Kesho yake kuna nesi jirani akaja kunipima akamwambia mama binti ako hajawah kufanya mapenzi.
Nakumbuka kuna kibibi usiku wa tukio kalikua kamekazana eti kanipime na kidole mi nkamwambia ukiingiza kidole utatoa bikra yangu akajibu thubutuu.
Ishu ilikua ndeefu ila mwisho wa siku yaliisha walitaka nihamie kwengine eti aibu nikakataa nikasema niko sawa sihami mtaa.
Ila inaniumaga sana na sijuagi ilikuaje sikufunga mlango na sijui yule kaka alitaka anibake au angeniamsha aombe game na sijui alijuaje sikufunga mlango.
Kwani kuwa na mimba ni Dhambi?Niliwahi singiziwa Nina mimba..siwezi sahau Aisee..niliuwa nikipita sehemu fulani watu wananishangaa nikijua ni ile kawaida tu watu kushangaana na huyo mmma mzushi akiwepo...kumbe watu walikuwa wanashangazwa nilivyo mkimya lakini Nina kibendiiiiJamani...taarifa zikamfikia mzee nikaona hana time na Mimi kidogo tu nafokewa..baadaye nikaja gundua huyo shakumbenga ananitangazia kwa raia mimi Nina mimba...nililia ile siku walaah nilimlaani yule mmama.. hazikupita siku nyingi akawekwa ndani .. mpaka Sasa nasikia linatangatanga tu huko liliko na iwe ivyo hadi kufa kwake..mpuuzi sana
sijui etiKwani kuwa na mimba ni Dhambi?