Haa ha..hapo mkuu uliharibu Kazini.. Ukamshinda boss wepesiMimi ni karibuni tulikua kanda ya ziwa kikazi, tukiwa kule ucku tumekaa bar kuna demu mmoja alikua anatuhumia kumbe supervisor wangu na yy anamtaka mimi bila kujua, nikamzingua yule demu nikaondoka nae, kesho take asbh tunaenda field naona boss kavuta mdomo, badae dereva wetu akaniambia jamaa anamind jana nilimpiga kanzu tokea cku hiyo hadi tumerud mjini ni bifu tu, sasa amefika ofisini ameandikia bonge la ripoti full uongo hapa j3 natakiwa nipeleke maelezo ya kujitetea!
Labda ukute yeye alikuwa anajisifu kuwa anatoka na we we bila kujuaZamani nilipokuwa kijana kusingiziwa kuwa natoka na mtu ambae sijawahi hata kuongea nae ilikuwa kawaida sana hivi watu sijui huwa wanapata faida gani kuzushia wenzao
VIP boss alielewaa;!??Nikiwa mdg mdg sana km 22 hivi nilisingiziwa nakula mke wa boss wangu kazini halafu wote tupo ofisi moja...kiukweli alikuw ananikubali ila mi nilikuwa namuona mzee tu 22 kwa 32 wap na wap!bado kdg nilogwe mie nashukuru alijua ni uzushi
pole nawe kamanda, maana hizo ishu zizikie kwa mwenzakoDaah..pole sana Mkuu hii ya mimba nahisi hatar Mimi nishawahii liwaa pesaa aiseee
Na yule jamaa wa humu unatoka nayeZamani nilipokuwa kijana kusingiziwa kuwa natoka na mtu ambae sijawahi hata kuongea nae ilikuwa kawaida sana hivi watu sijui huwa wanapata faida gani kuzushia wenzao
Yule wa humu ni kweli natoka naeNa yule jamaa wa humu unatoka naye
Inawezekana pia aisee watu wanajua kuwanyima raha wenzaoLabda ukute yeye alikuwa anajisifu kuwa anatoka na we we bila kujua
Ooouh hapo sawa.Yule wa humu ni kweli natoka nae
Daah noumah sanaa...! Ilikuwa bifu ya mwana nin!??Nakumbuka kipindi fulani niko shuleni kuna demu mmoja nilikuwa na kabifu nae ka chini chini kabisa yule alikuwa rafiki angu sana,akasema mimi mjamzito na ni muathirika nina ukimwi. Nilikuwa nalia kila siku Dom watu wananicheka balaa,tena shule ya girls umbea unasambaa kama moto wa petrol kila kona unanyooshewa vidole. Nakumbuka nilimfata nikamuuliza kwanini unanizushia tuhuma hizi,mbele za watu huku akipaza sauti akasema ndio wewe una mimba na ukimwi kwani uongo? Watu walinicheka,walinizomea na kunisema vibaya juu ,Niliishiwa pozii hata ya kunyanyua mguu kutoka sikuwa na nguvu hivo, kuna dada alikuwa anatuzidi darasa ndio akaja kunitoa. She please me mpaka nikaacha kulia lakini moyoni nilikuwa na hasira kali na yule demu,nikaenda kwa matron nikamwambia nataka kupima ukimwi,matron alishangaa balaa akamuita mwalimu wa malezi still nika insist nataka kupimwa,wakanipeleka kufanyiwa counselling na mshauri wa wanafunzk nikagoma na kusimamia msimamo wangu ikabidi siku ile ile wanipeleke hospital wanipime,nikakutwa sina maambukizi wala mimba hapo nikaliamsha dude maana sikusema lolote kwao nilisubiri mpaka nipimwe wawe na uhakika,ilikuwa bonge la kesi akaambiwa aniombe msamaha assemble maana alitangaza taarifa za uongo karibia shule nzima ilijua, watu wakaanza kumzomea alivyokuwa anajielezea kwamba kanizushia sababu ya kibifu chetu kisicho na kichwa wala miguu.
Sitasahau ile ishu aseeee.
Duh sema na wewe ulichukua maamuzi magumu kinyama. Ungekutwa nao je? Ungeacha shule au?Nakumbuka kipindi fulani niko shuleni kuna demu mmoja nilikuwa na kabifu nae ka chini chini kabisa yule alikuwa rafiki angu sana,akasema mimi mjamzito na ni muathirika nina ukimwi. Nilikuwa nalia kila siku Dom watu wananicheka balaa,tena shule ya girls umbea unasambaa kama moto wa petrol kila kona unanyooshewa vidole. Nakumbuka nilimfata nikamuuliza kwanini unanizushia tuhuma hizi,mbele za watu huku akipaza sauti akasema ndio wewe una mimba na ukimwi kwani uongo? Watu walinicheka,walinizomea na kunisema vibaya juu ,Niliishiwa pozii hata ya kunyanyua mguu kutoka sikuwa na nguvu hivo, kuna dada alikuwa anatuzidi darasa ndio akaja kunitoa. She please me mpaka nikaacha kulia lakini moyoni nilikuwa na hasira kali na yule demu,nikaenda kwa matron nikamwambia nataka kupima ukimwi,matron alishangaa balaa akamuita mwalimu wa malezi still nika insist nataka kupimwa,wakanipeleka kufanyiwa counselling na mshauri wa wanafunzk nikagoma na kusimamia msimamo wangu ikabidi siku ile ile wanipeleke hospital wanipime,nikakutwa sina maambukizi wala mimba hapo nikaliamsha dude maana sikusema lolote kwao nilisubiri mpaka nipimwe wawe na uhakika,ilikuwa bonge la kesi akaambiwa aniombe msamaha assemble maana alitangaza taarifa za uongo karibia shule nzima ilijua, watu wakaanza kumzomea alivyokuwa anajielezea kwamba kanizushia sababu ya kibifu chetu kisicho na kichwa wala miguu.
Sitasahau ile ishu aseeee.
Wakati huo niko ka bikra sijawhai shiriki ngono,pengine wa kuzaliwa nao. That's why nika insist wanipime. Usiombe uzushiwe scandal hasa shule za girls utajutaDuh sema na wewe ulichukua maamuzi magumu kinyama. Ungekutwa nao je? Ungeacha shule au?
Ushaambiwa shule ya girls mwana anatoka wapi?Daah noumah sanaa...! Ilikuwa bifu ya mwana nin!??
Hii itakuwa chai tena katika joto kali maana hizi story tushazisikia sana miaka hiyoKuna kipindi walinisingizia ETI DUME ZIMA NAVAA SHANGA KIUNONI....ilinitesa sana ,,,lakini pia niliwanasa sana WAREMBO waliokuja kuhakikisha kama kweli nina SHANGA KIUNONI AU LAA......nusu niwamalize mtaa mzima,, kuanzia VISICHANA hadi wake za watu,,wote walitaka kuhakikisha ni kweli? Mwisho walikuta SI KWELI na kila aliyepita kwangu HAKUTOKA....ilibidi nihame mtaa maana INGIA TOKA ZA MADEMU mjengoni kwangu zilizidi nikapewa NOTICE NIHAME....hakika sitosahau...KUMBE WAKATI MWINGINE KICK husaidia kuwa JUU....