Waziri mkuu sidhani kama atatokana na Mbunge wa kuteuliwa kwani Dr. Slaa kwa sasa hajagombea Ubunge mahali popote.
Wa nchi gani?Kwa mujibu wa ufunuo wangu naona PM atakuwa Prof Harrison Mwakyembe au January Makamba.
Wakati huo ccm ni kambi rasmi Bungeni kwa hiyo hawana nafasi ya kumtoa waziri mkuu.
Kama unampigia Chapuo Lowassa kuwa Raisi wa Nchi hii ni nani anaweza kukebehi Muhongo kuwa PM?Kwlei ccm mnaota ndoto za mchana!. HATUWAPI NCHI. TUNAPIGIA UKAWA KUANZIA DIWANI, WABUNGE HADI RAISI.
HUO UWAZIRI MKUU SAHAUNI!.
Kama unampigia Chapuo Lowassa kuwa Raisi wa Nchi hii ni nani anaweza kukebehi Muhongo kuwa PM?Huyo wazir mkuu kivuli wazir mkuu anatoka ukawa
Kama unampigia Chapuo Lowassa kuwa Raisi wa Nchi hii ni nani anaweza kukebehi Muhongo kuwa PM?Hivi kama mnaota vile hasa wewe mleta mada , hata uchauzi bado wewe unaota waziri mkuu
Kwa mjibu wa katiba, waziri mkuu anatokana na wabunge waliochaguliwa majimboni, sasa Mhongo akishindwa jee uchaaguzi kwani mkoa anaogombea siyo kama Dodoma ambapo waliopita kwenye kura za maoni wanashangilia ushindi#
subiri kwanza usikurupuke