Ulishawahi Kumfikiria Prof. Sospeter Muhongo kama Waziri Mkuu?

Mhongo toka lini amejiunga na Ukawa?
 
Hii nchi ina utani sana,ilipaswa iitwe Jamhuri ya Watu wa Matani.
Kama unampigia Chapuo Lowassa kuwa Raisi wa Nchi hii ni nani anaweza kukebehi Muhongo kuwa PM?

Je, unadhani ni nani Mwenye sifa Zaidi ya Muhongo?
 
Mhongo toka lini amejiunga na Ukawa?
Kama unampigia Chapuo Lowassa kuwa Raisi wa Nchi hii ni nani anaweza kukebehi Muhongo kuwa PM?

Je, unadhani ni nani Mwenye sifa Zaidi ya Muhongo?
 
acheni ndoto huu ndo mwisho wa ccm subirini october

Kwa lile goli la mkono mkuu nadhani nimeanza kujiandaa kisaikolojia wataiba kura hawa watu. Kama wameweza kuweka vituo feki kwenye kura za maoni wao kwa wao what of kwa upinzani? Sad
 
Muulize rushwa aliyotoa musoma vijijini anastahili kuwa pm? Kumbuka ukawa wanachukua nchi.
 
Wakati wote nyumbu mnatumia mkia kufikili kwann msitumie kichwa? Wenye akili hatupotezi muda kufikili tunamuona magufuli mahogany, akipanga baraza la mawaziri na hapana shaka akimchagua bingwa aliyebobea wa miamba duniani prof sospiter atakuwa hajakosea, lkn kwa mbali namuona lowasa na wapambe wake wakiwa wamefarakana baada ya kumkamua vilivyo wanalalamika kuibiwa, poleni sana ukawa.
 
mimi nipo ukawa ila muhongo ni muhimu sana kwenye ustawi wa taifa hili kuna kipindi nilitamani nae aje UKAWA
 
Habari Wanajamvi,

Naomba nianze kwa kwa kukiri niko upande wa Mabadiliko, upande unaoamini katika Upatikanaji wa huduma bora za kijamii kwa gharama nafuu, Nachotaka Serikali inifanyie ni Kunipa maji safi na salama, matibabu, miundombinu, elimu bora nakadhalika sihitaji Zaidi.

Takribani miaka 54 ya uhuru sasa nchi yetu imekua ikitegemea Kilimo kama uti wa mgongo, baada ya kufa kwa mazoa ya Biashara na Vyama vya ushirika kilibaki kilimo cha mkono kisicho na tija kilichoweza kukidhi mahitaji ya chakula cha ndani, Sera mbalimbali zinatengenezwa kwa awamu zote zikiwa na lengo la kufanya mapinduzi ya kilimo, sera ya “KILIMO KWANZA” ikiwa imeshika hatamu na dhamira ya dhati ya kufanya mabadiliko ya kilimo.

Tofauti na matarajio ya wengi, kilimo kinanufaisha matajiri wachache wanaoamua bei ya mazao nchini jukumu ambalo lingefanywa na wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushikirikiana nia wizara ya kilimo, Chakula na Ushirika, kwa kushirikiana na wadau husika serikali inapaswa kufanya tafiti za mazao yenye soko na yanayokubali mazingira yetu lakini kubwa zaidi ni soko la uhakika na bei halisi(ikiwezekana taaasisi za Serikali ziwe mawakala wa mazao yetu- Government should own major means of Production (Basics), tofauti na ilivyo sasa wafanyabiashara wenye asili ya kiasia ambao wanamiliki uchumi wa Nchi kuamua bei za pembejeo na bei za mazao Mf. Quality Group, Mohamed Enterprises,, Fidal Hussein, Murzal Group, Wachina,etc . Wafanya Biashara hawa wana nguvu sana, iko wapi ile Skendo kubwa ya sukari aliyotamba nayo ZItto Kabwe? Hu ndio ukubwa wa nguvu yao wanafikia hatua ya kubadilisha mawaziri.

Wote tunashuhudia Uchumi wa Tanzania ukibadilishwa na Neema ya Madini na Nishati, ugunduzi wa Gas, Uranium, Oil, Gypsum, Chuma na menngine kama hayo unaifanya Tanzania kua Tishio kwa Ukanda wa Africa siku za Usoni.

Ustawi wa sector hii unategemea na aina ya mikataba na usimamizi ambao untafanywa na serikali katika hatua za awali. Kwa mfano Intergration ya TPDC ni muhimu sana ili kuleta professionalism katika sector nyeti hii ambayo hatuna uzoefu nayo, yenye risk kubwa ya kimazingira na uwekezaji mkubwa.

Nisingeshangaa wawekezaji wa kihindi (Local Indians) kutoshinikiza Muswada wa Gesi na Mafuta bungeni kwa hati ya dharura ilihali ndo ilikua dhumuni kubwa la kuratibu safari ya mkuu wetu kule India.

Sector hii imevutia wawekezaji ambao tayari wameigawana Mtwara, Tanga, lindi na maeneo yote potential nchini.Kuna Shinikizo kubwa kutoka nchi za Mashariki ya kati, America, Ulaya, China, IMF, WorldBank na taasisi nyingine za kifedha za kuhakikisha wanatumia wakati huu wa uchaguzi kuinfluence mtu atayelinda maslahi yao.

Ulishawahi Kumfikiria Prof. Sospeter Muhongo kama PM wa Tanzania?
Mtaalam huyu ambaye wote hatuna shaka na Elimu na utaalam wake katika masuala ya Miamba na Madini, Ndie anayetajwa kuongoza Tanzania wakati tunaelekea mapinduzu makubwa ya kiuchumi.

Hakuna Shaka mtaalam huyu kada wa muda mrefu wa CCM ambaye ni Vice president for Commisioning of the Geological Map of the World, aliyewin Awards nyingi duniani za Geologia ndio mwenye CV inayovutia kuliko Mwanasiasa au naweza kusema mtu yoyote Tanzania katika Masuala ya Geologia.

Kada huyu, aliyeingia CCM kama vijana wengine alipata upinzani mkubwa toka alivyoingia madarakani Mei 2012, juhudi za makusudi zinafanywa ili kubeza jitihada zake katika Wizara ya Nishati na Madini.

Kundi linalobeza utendaji wake kwa maslahi ya wafanyabiashara wanaotaka kutumia Ujanja ujanja kufaidika. Kulikoni mtu mmoja kumiliki neema hiyo ni bora Serikali isigawe vitalu kwa wazawa, Serikali iwe Shareholder wa andalau 25% ili keki hii tuifaidi wote.

Kundihili linatumia hoja dhaifu kwamba Muhongo hakua mbunifu yale yote aliyoyafanya katika Wizara hiyo kama kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu, kukagua makampuni ya uchimbaji madini, Mtambo wa kinyerezi, Mfuko wa Madini na mengine mengi yalibuniwa na waliomtangulia.

Kwangu hata kama ni kweli, tunahitaji anayesimamia na kutekeleza, “katiba yetu bado ni nzuri kama tutaifata na kuitekeleza”

Ni Prof. sospeter Muhongo aliyesafishwa na State House kuhusiana na kashfa ya Escrow, hii ni moja ya hatua za kumpa uhalali wa kushika Madaraka Makubwa Nchini.
Tujiulize.

Kama unampigia Chapuo Lowassa kuwa Raisi wa Nchi hii ni nani anaweza kukebehi Muhongo kuwa PM?

Je, unadhani ni nani Mwenye sifa Zaidi ya Muhongo?

Karibuni,
Wenu,

Batili.
Dakawa.

Hivi bado hamjajiandaa kisaikolojia kukabidhi hii nchi?
 
mimi nipo ukawa ila muhongo ni muhimu sana kwenye ustawi wa taifa hili kuna kipindi nilitamani nae ajiunge na chama chochote kinachounda UKAWA
 
Mi sikupata kuona professor mahilri kama huyu....!

Shida yetu watz tunapenda kuongopewa ili tuje kusema kwamba tuliongopewa......

Hawa wataalamu hawajui kuongopa linapokuja swala la uwajibikaji wao....

Mimi ndo magufuli huyu professor anakuwa ndo pm wangu.... Wote viwembe vikali mpaka watz tubadilike na kuanza kufanya tunachokiongea....
 
Habari Wanajamvi,

Naomba nianze kwa kwa kukiri niko upande wa Mabadiliko, upande unaoamini katika Upatikanaji wa huduma bora za kijamii kwa gharama nafuu, Nachotaka Serikali inifanyie ni Kunipa maji safi na salama, matibabu, miundombinu, elimu bora nakadhalika sihitaji Zaidi.

Takribani miaka 54 ya uhuru sasa nchi yetu imekua ikitegemea Kilimo kama uti wa mgongo, baada ya kufa kwa mazoa ya Biashara na Vyama vya ushirika kilibaki kilimo cha mkono kisicho na tija kilichoweza kukidhi mahitaji ya chakula cha ndani, Sera mbalimbali zinatengenezwa kwa awamu zote zikiwa na lengo la kufanya mapinduzi ya kilimo, sera ya “KILIMO KWANZA” ikiwa imeshika hatamu na dhamira ya dhati ya kufanya mabadiliko ya kilimo.

Tofauti na matarajio ya wengi, kilimo kinanufaisha matajiri wachache wanaoamua bei ya mazao nchini jukumu ambalo lingefanywa na wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushikirikiana nia wizara ya kilimo, Chakula na Ushirika, kwa kushirikiana na wadau husika serikali inapaswa kufanya tafiti za mazao yenye soko na yanayokubali mazingira yetu lakini kubwa zaidi ni soko la uhakika na bei halisi(ikiwezekana taaasisi za Serikali ziwe mawakala wa mazao yetu- Government should own major means of Production (Basics), tofauti na ilivyo sasa wafanyabiashara wenye asili ya kiasia ambao wanamiliki uchumi wa Nchi kuamua bei za pembejeo na bei za mazao Mf. Quality Group, Mohamed Enterprises,, Fidal Hussein, Murzal Group, Wachina,etc . Wafanya Biashara hawa wana nguvu sana, iko wapi ile Skendo kubwa ya sukari aliyotamba nayo ZItto Kabwe? Hu ndio ukubwa wa nguvu yao wanafikia hatua ya kubadilisha mawaziri.

Wote tunashuhudia Uchumi wa Tanzania ukibadilishwa na Neema ya Madini na Nishati, ugunduzi wa Gas, Uranium, Oil, Gypsum, Chuma na menngine kama hayo unaifanya Tanzania kua Tishio kwa Ukanda wa Africa siku za Usoni.

Ustawi wa sector hii unategemea na aina ya mikataba na usimamizi ambao untafanywa na serikali katika hatua za awali. Kwa mfano Intergration ya TPDC ni muhimu sana ili kuleta professionalism katika sector nyeti hii ambayo hatuna uzoefu nayo, yenye risk kubwa ya kimazingira na uwekezaji mkubwa.

Nisingeshangaa wawekezaji wa kihindi (Local Indians) kutoshinikiza Muswada wa Gesi na Mafuta bungeni kwa hati ya dharura ilihali ndo ilikua dhumuni kubwa la kuratibu safari ya mkuu wetu kule India.

Sector hii imevutia wawekezaji ambao tayari wameigawana Mtwara, Tanga, lindi na maeneo yote potential nchini.Kuna Shinikizo kubwa kutoka nchi za Mashariki ya kati, America, Ulaya, China, IMF, WorldBank na taasisi nyingine za kifedha za kuhakikisha wanatumia wakati huu wa uchaguzi kuinfluence mtu atayelinda maslahi yao.

Ulishawahi Kumfikiria Prof. Sospeter Muhongo kama PM wa Tanzania?
Mtaalam huyu ambaye wote hatuna shaka na Elimu na utaalam wake katika masuala ya Miamba na Madini, Ndie anayetajwa kuongoza Tanzania wakati tunaelekea mapinduzu makubwa ya kiuchumi.

Hakuna Shaka mtaalam huyu kada wa muda mrefu wa CCM ambaye ni Vice president for Commisioning of the Geological Map of the World, aliyewin Awards nyingi duniani za Geologia ndio mwenye CV inayovutia kuliko Mwanasiasa au naweza kusema mtu yoyote Tanzania katika Masuala ya Geologia.

Kada huyu, aliyeingia CCM kama vijana wengine alipata upinzani mkubwa toka alivyoingia madarakani Mei 2012, juhudi za makusudi zinafanywa ili kubeza jitihada zake katika Wizara ya Nishati na Madini.

Kundi linalobeza utendaji wake kwa maslahi ya wafanyabiashara wanaotaka kutumia Ujanja ujanja kufaidika. Kulikoni mtu mmoja kumiliki neema hiyo ni bora Serikali isigawe vitalu kwa wazawa, Serikali iwe Shareholder wa andalau 25% ili keki hii tuifaidi wote.

Kundihili linatumia hoja dhaifu kwamba Muhongo hakua mbunifu yale yote aliyoyafanya katika Wizara hiyo kama kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu, kukagua makampuni ya uchimbaji madini, Mtambo wa kinyerezi, Mfuko wa Madini na mengine mengi yalibuniwa na waliomtangulia.

Kwangu hata kama ni kweli, tunahitaji anayesimamia na kutekeleza, “katiba yetu bado ni nzuri kama tutaifata na kuitekeleza”

Ni Prof. sospeter Muhongo aliyesafishwa na State House kuhusiana na kashfa ya Escrow, hii ni moja ya hatua za kumpa uhalali wa kushika Madaraka Makubwa Nchini.
Tujiulize.

Kama unampigia Chapuo Lowassa kuwa Raisi wa Nchi hii ni nani anaweza kukebehi Muhongo kuwa PM?

Je, unadhani ni nani Mwenye sifa Zaidi ya Muhongo?

Karibuni,
Wenu,

Batili.
Dakawa.

Ndoroooooooooooooooooooooobo nyie CCM, mmetunyonya vya kutosha
 
Watu wawili ndy wanatakwa, ni prof muhongo na huyu waziri wa ardhi.
 
hahahahahahahhahaaaaaaaaaaaaaa, Safari hii Maccm mjiandae kisykologia mapema kabisa mcje mkatulilia kama mtoto aliyeachishwa ziwa
 
huyo muhongo amehamia ukawa leo??? au huo uwazir mkuu atautolea chooni???
hv nyinyi ccm bado mnaakili ya kuendelea kutawala ??? sidhanii Ccm sahauni habari za urais na uwaziri mkuu MAMLUKI WENU MAGUFULI HAPITI HATA IWEJE LASIVYO KITAELEWEKA MWAKA HUU
 
Back
Top Bottom