Ulishawahi kumbwa na hali hii?

Ulishawahi kumbwa na hali hii?

Iyo kitu ilishawai kunitokea nilienda na mdada fulani hivi gesti huwezi amini nilipiga kimoja tu baad ya apo nikawa namwangalia tu sijui nilikuwa nina stress yan dah mpk yule mdada alishangaa isitoshe wiki kama mbili nilitoka kumtindua uyo uyo demu nilipiga show kali sana mpk demu alifurai sana
Ahahahahahahaha......atleast ulkuwa umemtindua mwanzoni..kimbembe ni pale ndo mara ya kwnz hataamin kama haupo vzr
 
Iliwahi nitokea kwa mwanamama mmoja hali hii. Yeye ni msomi sana na anasali makanisa ya walokole. Kiumri alinizidi hivyo nilikuwa namheshimu sana sana kama dada yangu. Ilitokea tu tukajenga mazoea tukawa marafiki tunawasiliana mara kwa mara hasa kwa sms.

Mazoea yalipokolea akaanza kunitumia sms za kimapenzi kisha anatuma sms nyingine ya kuomba radhi kwa kusema samahani huo ujumbe haukuhusu wewe nimekutumia kimakosa niwie radhi, nachukulia ni kweli yanaishia pale. Hii tabia ikaendelea tena na tena na tena. Siku nikawaza nikasema wacha nijiongeze, ikawa na mimi nafanya vile vile kwake.

Tumeenda na kamchezo hako hadi tukajikuta tumezoea sasa ikawa tunatumiana tu jumbe za kimahaba wakati mwingine tuna chat hadi usiku wa manane. Imeenda hivyo hivyo tukaanza kupigana miti kwa kuwasiliana kwa simu hivo hivo, tukikutana kila mmoja tunasalimiana na stories za kawaida kama tulivyozoea tunaagana tunaishia.

Siku nikajitoa ufahamu nikamkazia kwenye simu, nikamtongoza ile ya ukweli ukweli kwa kumweleza sitanii nipo serious, akakubali ikabaki tupange siku tukachapane miti.

Ushawahi kutokewa na mawazo ya kuna mwanamke mzuri sana , wa heshima sana , unampenda na unatamani ungemlala lakini mawazo yako yanakukatalia kwa kukuaminisha kwamba yule kwa namna alivyo, mnavyoheshimiana na kwa class yake kamwe hatoweza kukuvulia chupp!?? Bas hicho ndicho kilichokuwa kinanitawala mawazoni kila nimuwazapo na kumfikiria.

Siku ya siku ikafika tukajipanga tukakutana sehemu akanieleza ujue tunalala kabisa hadi kesho nikamwambia poa. Aiseee huwezi amini usiku wote nilipiga bao moja tu tena naliita la kichovu sana hadi nikajidharau, ni kama nilipatwa na ganzi ya mwili mzima , nahisi kutojiamini , siamini kama ni fulani ndio tumevuana nguo naiona tupu yake hii hapa halafu nashindwa kabisa kuipa mashine!!!!!

Kilichonisaidia ni yeye kunisoma ile hali kisaikolojia kumbe hata yeye hakuwa fit kiasi cha kutosha kwa kupatwa na hali kama ile ile iliyokuwa ikinikumba mimi , alikuja kuniambia siku za mbeleni baada ya kuwa tulishakuwa wapenzi mahaba yalikolea hatari hatari.

Tulipokuja kukutana kwa mara nyingine mambo yalikuwa mazuri kiasi cha kutosha hadi kupelekea kuwa wapenzi kwa muda wa kutosha tu
 
Noumer sana
 
Ilinitokea kwa binti mmoja wa kiislam, nilikuwa namtamani sana siku moja akaingia gheto alipovua nguo akawa anatoa harufu kali ya Udi+ Iliki + kulthum pafyume, niliona kama nakata roho

Halafu yeye anacheka tu huku ananifinya shingo nikajua alikuwa na ujini flani

Alipoondoka harufu ilibaki kwa siku 3
😃😃😎🙌🙌😎🐐🙌
 
Back
Top Bottom