Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Young Nas

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
372
636
Mbinguni tunaenda kwa IMANI, hivyo bila shaka ili upafahamu unapaswa kuwa na imani..

Unaweza kupitia kifungu hiki kama mwanzo kabisa wa wewe kupajua mbinguni..

Mwanzo 19:24
Ndipo BWANA akanyesha juu ya Sodoma na juu ya Gomora kiberiti na moto toka mbinguni kwa BWANA.

Ukisoma vizuri hapo juu, Utagundua mbinguni ni kwa BWANA.. na toka huko mbinguni BWANA alinyesha kiberiti na moto juu ya SODOMA na GOMORA.

Lakini pia hebu tizama hapa;

Isaya 66:1
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu; mtanijengea nyumba ya namna gani? Na mahali pangu pa kupumzikia ni mahali gani?

BWANA anasemaje kupitia kinywa cha nabii Isaya? ANASEMA HIVI... "MBINGU NI KITI CHANGU CHA ENZI"... Bila shaka unafahamu Matumizi ya KITI, kiti ni kwaajili ya KUKALIA/KUKETI.

HIVYO BASI... KWA MJUMUISHO TOKA KWENYE MAFUNGU HAYO MAWILI UTAFAHAMU YAFUATAYO JUU YA SWALI LAKO.

Mbinguni ni wapi?

1.Mbinguni ni SEHEMU AMBAYO MUNGU HUKETI/ANAKAA...
2.Mbinguni ni SEHEMU AMBAYO KAZI YA MUNGU HUANZIA/HUFANYIKA.

Sote kwa pamoja tunapaswa kupigania nafasi ya kwenda kukaa na MUNGU huko Mbinguni, NAFASI HIYO HAIPATIKANI ISIPOKUWA KWA TOBA, NA KUTENDA MEMA YA KUMPENDEZA MUNGU..

NARUDIA, TUBU ILI UPATE NAFASI YA KWENDA MBINGUNI, kwa maisha ya kidunia tunasema WAHI NAFASI NI CHACHE...

"Sote tumetenda dhambi Tutubu na Kurejea Kwa Mungu"

JE UMEELEWA KAKAANGU?
Mama"Makoooo kaa kulee shughurii haikuhuusii hiiii bwegeeee.....

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
HII I'D? HAPANA.. THIS IS THE VOICE, LISTEN TO IT, DO WHAT IT INSTRUCTS YOU...

TUMEGOMBANA? HUWA SIGOMBANI MIMI.. TAFADHALI USINIFANANISHE NA WAGOMVI.

Ukweli unauma.. ukiona kitu kinaanza kuwa kero ujue HUO NDIO UKWELI, LAKINI MOYO AU AKILI inajaribu kuupinga na kuukimbua huo ukweli... KAKA HAKUNA MKAMILIFU KWA MUNGU, SISI SOTE NI WACHAFU TUNA MADHAMBI KIBAO... FANYA UTUBU NA UBADILIKE.

UJUMBE HUU IPO SIKU UTAUTAFUTA SANA, SANA NA HUTOUPATA.. AMINI NAKUAMBIA, HERI ASIKIAYE NA KUTII KULIKO ASIKIAYE NA KUDHARAU.

Duniani walikuepo mabingwa wastarehe bwana, WEWE UMEFIKA HATA ROBO YA STAREHE ZA MFALME SULEIMAN? ACHILIA MBALI HUYO Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga wa HAPO ZAIRE??

BADILIKA ISIKIE SAUTI HII HUTOJUTA, MIMI SIKUFUNDISHI DINI MPYA, NAKUKUMBUSHA TU UTUBU NA UENDELEEE KUMTUMIKIA MUNGU KATIKA DINI HIYO ULIYONAYO... MBINGUNI HATUENDI KWA DINI, BALI KWA IMANI, USAFI WA MOYO NA MATENDO MEMA.

TUBU leo, wacha masuala ya kibuli.. hii ni saa tisa usiku, NAKUKUMBUSHA TUBU LEO KAKAANGU.
MANINAAAA ZAKOO TOKAAAA BHNAA ACHA XHOBOOOOO NENDA Uwanja was Fisiiii huko kama kweli wee Mtumaini Mungu shogaa weee......

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom