Sorry mzee nimerusha kombora kwa mtu sio. Yaani mm ni kama mrusi kwa sasa tangu nifanyiwe ujinga na vijana wa humu hivyo imepelekea mm kuwa hivyo ila mm kiuhalisia sipo hivyo mazingira ya watu wa humu yamepelekea kuwa hivi so kuna wengine nawalipua kwa ujinga wanao uleta na wengine bahati mbaya kama ww
 
[emoji1787][emoji1787] wewe ulizingua mwenyewe. Nafikiri wakati mwingine utakua makini.
 
Kigoma hipi mkuu? Uvinza,ujiji,kibondo/kasulu
 
Daaaah nimecheka kifala sanaa[emoji23]
 
Kazi nzuri sana
Next time utafanya Kazi nzuri zaidi
 
Mjina mrefu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…