DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Wengine ni "No strings attached" husikariri
Angalau umeacha tabia ya ku generalize mambo. Hicho ndicho nilichotakaWengine ni hawajavutiwa na previous game usinikaririshe hizo no spring attached
aaha hii kali babaa...mwanaume sup 3 alafu kama hakijatokea kitu *****!! Mkuu wewe ni Miongoni mwa watu wenye furaha sana duniani hakika..
Nilienda kupiga special exam udom, kwakuwa niliwahi wiki moja kabla ya kuriport nikabahatika kusafiri na kifest yia siti moja. Wao hutangulia kwa ajili ya orientation. Mungu si Athman bus ikaharibika Moro ikatulazimu kufka Dom usiku. Tukachukua lodge nikamtafuna vizuri tu, ila sikurudia tena, kumgonga, ni mngoni wa Songea, mweusiii tiiii. Mbayaaa
Wengine ni hawajavutiwa na previous game usinikaririshe hizo no spring attached
Kwa harakaharaka inaonekana kitandani ni 0 manake kama ungekuwa unayaweza mambo lazima angekukubali....hakunaga mwanamke anayekunwa vizuri halafu akaja kumkataa mkunaji
Usicheke,jitafakari
Kwa harakaharaka inaonekana kitandani ni 0 manake kama ungekuwa unayaweza mambo lazima angekukubali....hakunaga mwanamke anayekunwa vizuri halafu akaja kumkataa mkunaji
Usicheke,jitafakari
Hio kibaharia sana, napenda sana mademu waelewa.Kipindi naanza kazi nilikua nakaa na mdogo wangu. Sasa siku hiyo kapata loose ball akaenda kuligonga naiti sasa pale jirani kulikua na dem mmoja wa kichaaga alikuja kunisalimia ghetto baada ya kuona nimetoka kazini, basi tukakaa tumepiga stori weee muda ukaenda nikamwambia leo nalala peke yangu fanya uje unipe kampani basi akaniambia hamna noma!
Nikala mzigo mpka asubuhi akasepa getoni kwake..
Hahahah miez mi3 bila mashine?🤣🤣🤣 jamaa atafute kazi ingine ya kufanya tu.kuna mke wa mtu(mpangaji mwenzetu),sikuwah kuwa na mazoea nae,siku hio jumamos akaniuliza "unakulaga birian"?nkamwambia ndio...bas bi mama akaniletea ki hotpot nkapiga menyu,baada ya mda akaja kuchukua vymbo kiutan nkamualika ndan kwel akazama akakuta series ya kikorea,akaduwaa anachek,muda si muda nkaona anajifunua funua nikajarib imo nkala mzigo.....baadae ananmbia amekaa miez 3 na mumewe hamgusi kila siku jamaa anasema kachoka!