Ulishawahi kufaidika na warranty? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulishawahi kufaidika na warranty?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Raia Fulani, Mar 19, 2012.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nimeharibikiwa na friji yangu mpya yanye warranty ya 24 months. Nimepeleka service center hatimaye nikaambiwa nitoe laki. Warranty bado haijaisha. Lipi lengo la hii kitu?
   
Loading...