Ulishawahi kucheza mchezo huu?

Ulishawahi kucheza mchezo huu?

Garmii

Senior Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
164
Reaction score
19
Ktk maisha mtu lazima upitie hatua mbalimbali then ufikie utu uzima,
nakumbuka nikiwa mtoto tulicheza michezo mingi ya heshima tofauti na watoto wa cku hizi mzazi ucpokuwa makini mchezo wao niwa baba na mama!
Michezo tuliyocheza enzi zetu ni pamoja na kuruka kamba,tikiri,mchezo wa kujificha,utengenezaji wa magari hasa wakati wa mavuno,ukutiukutu, kioo kioo alikivunja nani,kujipikilisha.......................
Mingine nisaidieni loh! uzee jamani nimesahau....!!!!!
 
tiyari bado, kombolela ,marede,kila mbakishie baba, bong'oa, mputo ....
 
Mimi nakumbuka kufuga samaki, gapi, blaki moo, gapi pezi, kidoa n.k.
 
we michezo gani hiyo unaongea watoto wa skuiz playstation ndo michezo ukimkuta anacheza mpira hata messi haoni ndani
 
yani watoto wa siku hizi waanza ufuska tangia wadogo, kibaba baba, basi utawakuta wamelaliana kama wanavyoona kwenye tv.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom