Ulishawahi Kopwa pesa na Manzi ukachomoa?

Ulishawahi Kopwa pesa na Manzi ukachomoa?

Ni miezi 4 ss tangu demu wa mshikaji aniazime fedha na siioni dalili za kurejesha.Kuna kipindi mazoea yaliongezekaaaaa!
 
Ni miezi 4 ss tangu demu wa mshikaji aniazime fedha na siioni dalili za kurejesha.Kuna kipindi mazoea yaliongezekaaaaa!
Daah hiyo ulimpa mzee..alafu lazima awe anajishtukiaa!!
 
Pole Mkuu. Hapa ndio naelewa maana ya kuwa kwenye mahusiano na mtu mwelewa nje ya hapo ikitokea anahitaji kitu na we huna lazima kichwa kipate moto na hayo yatokee. Teh
 
Katika vitu sijaumbwa navyo ni kujifanyisha naweza wakati siwezi. Mara zote huwa najibu moja kwa moja kama ulivyokuja kuomba
 
Demu toka lini akakopeshwa akalipa? Mm ata kama ninayo simkopeshi labda nimpe tu.
 
Back
Top Bottom