uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,087
- 2,996
🙄Aisee me alikuwa kama rafiki tu...
🙄Aisee me alikuwa kama rafiki tu...
Wala hujakosea mkuu,alitaka nimpe pesa alafu atanifikilia nikaona hapo napigwa changa la macho,nikamwambia basiBila shaka ulimuambia ukamgegede
Masharti gani ulimpa?Itakuwaa...sema me alikuwa rafiki angu wa kitambo sanaa!! Sijawahi fikiria kumlaa yani japo ningewezaa..!! Kuna mwana wangu akamnunulia mpaka simu[emoji22][emoji22]
Za kuomba mzee babaZa kuomba au za kuchomoa zinga???
Aseeh chat za hiv mi hua siwezi!!! Kila mtu apite hivUkweli umuacha mtu huru View attachment 1112417
nashangaaa sana unakuta kama huna huna kwanini ulazimishe kisa mtu anayetafuta njia yakutokea .....mimi awe mwanaume awe mwanamke siwazi mara mbili sina ni sina siwezi kukuambia njoo baadae after all niwachache sana nakopeshaga nikitoa pesa mostly naziachiaga kama sadaka tu ukitegemewa ulipwe utavuna mabua (ni mtazamo wangu)Hivi kujieleza kuwa sina hadi uzunguke masaa 5.?
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah mkuu kuna watu kuwaambia huna ni ngumunashangaaa sana unakuta kama huna huna kwanini ulazimishe kisa mtu anayetafuta njia yakutokea .....mimi awe mwanaume awe mwanamke siwazi mara mbili sina ni sina siwezi kukuambia njoo baadae after all niwachache sana nakopeshaga nikitoa pesa mostly naziachiaga kama sadaka tu ukitegemewa ulipwe utavuna mabua (ni mtazamo wangu)
Ukweli hukuweka huru. Mambo ya kujipa headache kisa ufurahishe mtu ni upuuzi.nashangaaa sana unakuta kama huna huna kwanini ulazimishe kisa mtu anayetafuta njia yakutokea .....mimi awe mwanaume awe mwanamke siwazi mara mbili sina ni sina siwezi kukuambia njoo baadae after all niwachache sana nakopeshaga nikitoa pesa mostly naziachiaga kama sadaka tu ukitegemewa ulipwe utavuna mabua (ni mtazamo wangu)
Ume specify gender kwenye kiuzi chako?
kwanini ujitese kama huna?[emoji23][emoji23][emoji23]Daah mkuu kuna watu kuwaambia huna ni ngumu
Yani acha tu...ni frnd wa miaka mingi na hanaga hiyo tabia kabisa! Sema siku hiyo ndo alitingwa mkuukwanini ujitese kama huna?
kwanini yeye iwe rahisi kuja kukukopa kutatua shida flani kwasababu hana kwa mda ule sasa kwanini ushindwe kumueleze kwamba huna
hatakama unayo kama mahesabu yako hayaruhusu kwanini ujiangaishe kwa mtu
Hivi kujieleza kuwa sina hadi uzunguke masaa 5.?
Ni ujinga wa standard gauge kushindwa kuongea ukweli kisa utaonekana huna.Hii ni shida ya wengi kazi kujikweza wasipopaweza