Unawahi kufa siyo tunawahi kufa.Sema ndo uwanaume mkuu..ndo maana tunawahi kufa mapema kisa mastress[emoji22][emoji22]
Ni ujinga wa standard gauge kushindwa kuongea ukweli kisa utaonekana huna.
Sasa hapo amekukopa tu unataka umgegede je angekuomba kabisa?Mm ilitokea mtoto mmoja wa kishua aliomba nimpe laki na nusu,alafu mzee wake akilejea baada ya week moja atairejesha,nikampa masharti yakamshinda mchezo ukaishia hapo
Na akikuomba utampa bure bila malipo au masharti yoyote?Nafuu mwanamke aniombe kuliko kunikopa
Na akikuomba utampa bure bila malipo au masharti yoyote?
Hallelujah, Amen.Natoa pesa bila shida kabisa wala sitegemei malipo ya namna yoyote
Haa ha..hapo baadae tu ashanunaa..!!
AmenHallelujah, Amen.
Inategemea na maelezo yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]So akikuomba hata kama huna unaweza kopa umpee
Kweli Mkuu unasema tu kama hauna, mambo ya kubeat around the bush hayasaidii,Hivi kujieleza kuwa sina hadi uzunguke masaa 5.?
By the way id yako nimeipenda bure japo sijui maana yake ila kila nikiiona hilo neno plate ukiachana na sahani basi kichwani yananijia yale mambo ya tectonic plates kwenye geography sijui kwa sababu niliipenda sana hiyo topic[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Amen
Kula 5.Kweli Mkuu unasema tu kama hauna, mambo ya kubeat around the bush hayasaidii,
Hapa plate imetumika kama kibandiko. Lebo hizo huwekwa kwenye vyombo vya usafirishaji mizigo/ bidhaa hatari.By the way id yako nimeipenda bure japo sijui maana yake ila kila nikiiona hilo neno plate ukiachana na sahani basi kichwani yananijia yale mambo ya tectonic plates kwenye geography sijui kwa sababu niliipenda sana hiyo topic
Oohh nimekumbuka.[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Hapa plate imetumika kama kibandiko. Lebo hizo huwekwa kwenye vyombo vya usafirishaji mizigo/ bidhaa hatari.