Kumbuka E alilamika una mazoea mabaya na huyo binti, na kwann alitaka kukuficha kwamba hajui funguo ziko wapi mpaka ulimpompigia simu kumchana? Inabidi uwe mwerevu sana na ujue fitna au siasa za maofisini especially kudeal na wadada:
1. Hao mabinti wanashare information zako zaidi ya ufikiriavyo.
2. Kuna uwezekano mkubwa wote wako interested nawe ila wewe uko interested kwa mmoja, tena ni huyo binti.
Kiofisi na kwa sheria za kazi hii si kesi nzuri kama ushahidi utathibitika. Ushauri:
1. Acha mazoea kabisa na huyo binti, tena mpotezee kabisa kwa sasa, msalimie tu na mahusiano yawe ya kikazi tu, and it has to be strictly professional.
2. Inabidi ucheze fitna, mwokozi wako kwa sasa ni E, kuwa naye karibu sana, take her out for lunch kipindi hiki, piga naye story etc., yaani keep her close to you.
3. Omba ushauri kwa E, ila muapize kwamba what you are gonna talk iwe between you guys, na mueleze kwamba unajuta kuwa na mazoea na huyo binti, unajutia na unataka kufunga huo ukarasa na bora sasa uwe close to yeye E. Andaa any simple gift umpe.
4. Umpe E assignment ya kumlainisha huyo binti na kuhakikisha anasamehe, kuna ushauri wowote akupe mlimalize.
5. Endelea na open casual friendship na E huku ukipata daily feedbacks mpaka soo litakapoisha.
6. Don't ever plan, yaani usije ukarogwa ukatembea na yeyote kati ya hao mabinti, itakula kwako big time!! Play with their minds only, baada ya 3-6 months potezea wote.
7. Punguza, jizuie, na acha kabisa kuwa na mihemuko au hasira maeneo ya kazi, it will cost you dearly!
Aagh! Natamani kuendelea kutype ila vidole vinauma ... na uzee huu tabu tupu!
All the best
Rabboni !