Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,334
- 16,788
ha ha ha ha ha!hivi hawa kina guahg zhou wako kwenye kila idara!!pembe wao...kumbe hata kwenye bkr!!.....zile za guang zhou yani utafikiri oliginale kabisa tight mark
ha ha ha ha ha!hivi hawa kina guahg zhou wako kwenye kila idara!!pembe wao...kumbe hata kwenye bkr!!.....zile za guang zhou yani utafikiri oliginale kabisa tight mark
Wanatimiza ule usemi wa tenda wema nenda zako
vile vile kizuri kula na mwenzio
Nije tule hicho kizuri.
Wanasemaga... Nimepewa bure kwanini nikibanie ??
hahaha waneleta upendo wa mshumaa kumulikia wenzao alafu wenyewe unaisha stupid kabisa,Wanatimiza ule usemi wa tenda wema nenda zako
Hii ni mind set ambayo lazima ipigwe vita.
Mbona munawanyamazia wanaume wenye tabia kama hiyo ambayo suruali zao hazikai kiunoni na kila mwanamke anayempitia mbele anamtaka?
Eti wao wanaume ndiyo wanaume kamili, loh!
Bitimkongwe hapa ni jukwaa huru unaweza leta hiyo mada na ikajadiliwa by the way kuna topic humu ihusuyo mabazazi waweza search ukiona haitoshelezi lete part 2 yake au collabo tutachangia bila hiyana mwaya
Hata maandiko yanasema saidia wasiojiweza angelitaWanasaidia wasiojiweza