Ulisha wahi kuwasikia hawa?

Ulisha wahi kuwasikia hawa?

Hii ni mind set ambayo lazima ipigwe vita.

Mbona munawanyamazia wanaume wenye tabia kama hiyo ambayo suruali zao hazikai kiunoni na kila mwanamke anayempitia mbele anamtaka?

Eti wao wanaume ndiyo wanaume kamili, loh!
 
Bitimkongwe hapa ni jukwaa huru unaweza leta hiyo mada na ikajadiliwa by the way kuna topic humu ihusuyo mabazazi waweza search
ukiona haitoshelezi lete part 2 yake au collabo tutachangia bila hiyana mwaya
 
Bitimkongwe hapa ni jukwaa huru unaweza leta hiyo mada na ikajadiliwa by the way kuna topic humu ihusuyo mabazazi waweza search ukiona haitoshelezi lete part 2 yake au collabo tutachangia bila hiyana mwaya

Nimetoa mawazo yangu ili mambo yawe balanced.
 
majuu watu wanatutongoza kabiasa ww unashangaa hii ya kupewa mara moja
 
Aisifiaye mvua....!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkipewa kosa mkinyimwa kosa hebu waachen watoto wa wenzenu wapate raha kwa kiungo walichopewa bure sasa kwanini amnyime mtu wakati akifa kinaoza?
Nafukua makaburi[emoji2]
 
Back
Top Bottom