Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,066
Kama si kuwasikia basi ushawahi kuwaona au kuishi nao kabisa nawazungumzia mama huruma au majo maramoja au maharagwe ya mbeya
hawajui hapana vichwani mwao hawana msamiati wa HAPANA ukigusa tu umebeba na hawana gharama umpe pesa usimpe yeye wala hana hiyana
Tunaweza kuwacheka kuwasema na kuwadharau lakini hili ni tatizo aidha la kizalia , malezi ,makuzi ,au kisaikolojia.
Tunaweza kuwacheka lakini tujue kuwa ni poneo la wengi hasa madomo zege na wale wajifunzao utundu lakini hawana kitu.