Ulipofikia ujenzi wa uwanja wa Arusha

Ulipofikia ujenzi wa uwanja wa Arusha

Uwanja unatusaidia nini?
1765805499907.png
 
Pongezi ziende kwa mama wa Taifa Dr Samia Hassan kwa kasi kuleta maendeleo tangu achaguliwe kuwa rais!
 
Kwa nchi ambayo toka ipate uhuru zaidi ya miaka 60 iliyopita bado hakuna huduma muhimu kama za afya, maji, barabara, elimu duni na huku zaidi ya nusu ya wananchi wakiishi chini ya mstari wa umaskini viwanja kama hivyo ni kuonyesha tu ni kwanini hizo huduma tajwa bado ni duni kiasi hicho.

Nchi bado hata haijui ni nini vipaumbele vyake. Tuna watawala ambao wanafurahia sana kuwa madarakani lkn uwepo wao madarakani hauna manufaa yoyote kwa wananchi.
 
nioneshe nchi iliopata uhuru miaka 60 iliyopita isiyokuwa na changamoto
 
enhee ebu tuelezee zaidi
 
nioneshe nchi iliopata uhuru miaka 60 iliyopita isiyokuwa na changamoto
Hakuna nchi duniani isiyokuwa na changamoto ila zinazidiana. Tanzania kwa hali yetu ilivyo kama tungekuwa na serikali tofauti na hii changamoto ambazo tungekuwa nazo zisingekuwa nyingi kiasi hichi ikiwemo kiwango cha umaskini kwa wananchi.
 
umaskini unahusiana vp na serikali, ukishindwa kutoka kwenye umaskini hilo ni lako serikali mdai sera na miundo mbinu
 
Sera mbovu na miundombinu mibovu inachangia sana watu kutokupata maendeleo pamoja na ufisadi uliokithiri.

Ukiwa chawa huwezi kuona hayo kwani chawa hana tofauti na mtu mwenye imani kali ya kidini.
 
sera gan mbovu inakuzuia wewe kutoka kwenye umaskini? au miundo mbinu gan imekuzuia, wenzako wamekuaje matajiri?
 
Kwa hiyo mtu kama Rostam anayetumiwa na watawala mafisadi baada ya kufanya ufisadi kwenye ile kashfa ya EPA 2005 unaweza kutuambia kwamba amepigana kuupata utajiri wake.

Matajiri wengi wa nchi hii wametajirika kwa njia hizo hizo za kifisadi na ni mawakala wa watawala mafisadi walioacha nchi ikiwa maskini wa kutupwa lakini kwa kuwa machawa siku zote akili fupi wanabaki kusifia tu. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom