Ulipo kuna umeme?

Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Kitu maarufu karibu na wewe.^CM
Thanks for responding.

Nimeambiwa utarudi saa kumi, usiporudi ntakupa taarifa zaidi for further assistance.
 
Jamani umeme umekatika kila mahali ama ni huku madongo kuinama tu?

Nauliza maana it's been a while tokea umeme ukatike usiku alafu usirudi ndani ya muda mfupi 😵
Huu Pemba unakatika na kuwaka mara 24 kwa siku. Yaani kama disco lights.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…