Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,820
- 8,499
Kumbe Ni Kote Hadi hapa Dodoma hamna Mi nikajua vile vi Unit vyangu vya Shilingi 350 Vimekata
Umeme utarudi usiwazie sana mkuuNgoja tuendelee kusubiri na sisi![]()

SawasawaUmeme utarudi usiwazie sana mkuu![]()
kwahyo unaenda kuchek kama upo?Posta hakuna, Mikocheni hakuna, Goba hakuna.
NAENDA MWENGE NIKIKOSA NITAWAJULISHA.
waje waichukue na tanesco kama nyiongezambna hapa town upo.MWANZA
HAKUNA UMEME
Wacha waisome nambaa eeee😂Tuliipenda wenyewe, chaguo letu wenyewe
Na mvimbe mpasuke, …………….![]()
Una ugomvi na Januari?
Dar upo mbona sema baadhi ya maeneoKilwa hakuna umeme muda huu
Umemuelewa lakini?Acha ufala we ni msemaji wa tanesco watu wanakosa biashara unakuja na neno ''kama" kuna vitu vingine ongeeni kama watu sio chawa, unaleta hasira sana