Ulipitia changamoto ipi baada ya kumchakata dada wa rafiki yako???

Ulipitia changamoto ipi baada ya kumchakata dada wa rafiki yako???

Ukiona haujui kama anataka kuchakata au kuoa, basi kuna uwalakini kwenye urafiki wenu. Anway, maybe i'm too fixed in my ways. Hauna rafiki mwingine hapo binamu?
Hahaha kwamba kama ni rafiki yako unakuwa unafahamu mienendo yake A to Z? Ni ngumu aisee huwezi kujua mtu anawaza nini kichwani mwake. Rafiki yupo nikuunganishe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rafiki yangu mpendwa alikua na dada mzuri sana, nilitokea kumwelewa too... basi nikafanya kumchombeza bahati nzuri akanielewa kwa sharti la kaka yake asijue chochote.

nikaanza kumla mgegedo, siku1 rafiki yangu kaazima sim ya dada ake kunitafta akakutana na namba yangu imeseviwa "my heart" alitokwa povu sana aliponitafta then ndo ukawa mwisho wa urafiki wetu...
nilijilaumu sana kumpoteza my frnd coz alikua zaidi ya rafki na tulisaidizana mambo mengi sana, bt pendo na dada yake liliendelea mpaka tulipo break
je upande wako ulipitia changamoto ipi??
Ungemuoa kabisa
 
Rafiki anayechakata Dada ako unadhani ukiwa na wife mzuri atashindwa kumchakata??? sipendi tabia za kipumbavu ukimtaka sister angu then Ni rafiki muoe tu lakini sio kutumia.
Marafiki Kama hao dawa yao Ni kutafuta Dada ake unamla na wewe.may be Sina rafiki wa dhati wa kufa na kuzikana.
 
rafiki yangu mpendwa alikua na dada mzuri sana, nilitokea kumwelewa too... basi nikafanya kumchombeza bahati nzuri akanielewa kwa sharti la kaka yake asijue chochote.

nikaanza kumla mgegedo, siku1 rafiki yangu kaazima sim ya dada ake kunitafta akakutana na namba yangu imeseviwa "my heart" alitokwa povu sana aliponitafta then ndo ukawa mwisho wa urafiki wetu...
nilijilaumu sana kumpoteza my frnd coz alikua zaidi ya rafki na tulisaidizana mambo mengi sana, bt pendo na dada yake liliendelea mpaka tulipo break
je upande wako ulipitia changamoto ipi??
Una Dada...??
Kama unae, basi tafakari simulizi hii na iwe kinyume chake.
Baada ya hapo, komenti kwenye huu uzi kama mchangiaji yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara nyingi mkishakuwa marafiki huwa mnakuwa mmefanana tabia ndo hupelekea friendship.
eg. wote ni wapenda ngono, kesho anashuhudia unatoka na dada yake unafikiri urafiki utaendelea kweli? lazima atakuwa anahisi kuwa utamchezea na kumharibia future yake kama mchezeavyo watoto wa wengine
 
Back
Top Bottom