Ulipataje kazi yako

Ulipataje kazi yako

kila siku nilikuwa nanunua gazeti la daily news ili kutafuta kazi .siku moja nikakuta kijarida cha ppra kimeandikwa matender waliyoaward kwa watu mbalimbali
nikaangalia kampuni ambayo ilikuwa imepewa tender kubwa nikaona moja ina bilion kadhaa. nikaingia mtandaoni nikatafuta contact zao
bahati nzuri kwenye website yao wameweka namba ya simu ya mkurugenzi .nikakuta kumbe yupo whatsup nikamtext akaniambia yupo nje ya nchi akija atanitafuta.siku moja akaniambia yupo dar ila anatafuta siku anitumie nauli .sikusubiria nauli nikaja dar nikamwambia nipo dar mzee.
akaniambia basi njoo jmosi tutakuwa wote mgt njoo saa tano.
nikaenda jmosi ile wakaniinterview saa saba akaniambia jtatu mapema uje kazini .
Mungu ni mwema nipo nae hapa sasa hivi tunaishi vizuri sana kweli tajiri hana roho mbaya .nampenda sana huyu mzee.
Komenti yako niliisoma bila kuangalia jina nilipo maliza kusoma nilipata mashaka imekuwaje umepata kazi kirahisi hivyo.

Ndo kurudi juu ahaaa!! Kumbe mwanamke halafu anaitwa miss natafuta

Sio ajabu
 
heheh kuna mwanae yule ana makalio ya haja tumekaa sana mule,daah enz hizo kikuyu vyumba ilikuwa mpaka buku 7 per month...daaah tulipata shida sana wakati tunaanza chuo kile
Nyumba za tope mlianza kukaa, wagogo wakawa eanawacheka sana eti kwanini mnalipa hela si mkae bure, walikuwa wanaona aibu kudai kodi, saizi wamekuwa kama wachaga kila kitu wanadai pesa...yaani wamesahau kwamba walikuwa wakijenga nyumba bila choo...ukijisikia haja unaelekea pande za mlimani...hahahaa!. Lile toto lake ngoja tumuulize lilikoelekea, maana ilikuwa balaa
 
Wakuu karibuni tupeane maarifa ni jinsi gani ulipata kazi/ajira yako, ilikutoa motisha kwa ndugu zetu wahitimu ni mazingira gani yanaweza kukusaidia kupata kazi

hii niliyonayo na ya kabla ya hapa niliipata kupitia www.reliefweb.int nikaeda jobs
 
Hapa papuchi ilitumika kama collateral
hahahaha aisee jf kuna vituko sana..... mbona watu husaidiwa tuu bila kuombwa malipo yeyote? hivi wewe hukuwai kumsaidia mtu bila kuomba malipo?
 
Nyumba za tope mlianza kukaa, wagogo wakawa eanawacheka sana eti kwanini mnalipa hela si mkae bure, walikuwa wanaona aibu kudai kodi, saizi wamekuwa kama wachaga kila kitu wanadai pesa...yaani wamesahau kwamba walikuwa wakijenga nyumba bila choo...ukijisikia haja unaelekea pande za mlimani...hahahaa!. Lile toto lake ngoja tumuulize lilikoelekea, maana ilikuwa balaa[/QUOTE
hahahhahah kweli aysee...daah i miss that life
 
Nyumba za tope mlianza kukaa, wagogo wakawa eanawacheka sana eti kwanini mnalipa hela si mkae bure, walikuwa wanaona aibu kudai kodi, saizi wamekuwa kama wachaga kila kitu wanadai pesa...yaani wamesahau kwamba walikuwa wakijenga nyumba bila choo...ukijisikia haja unaelekea pande za mlimani...hahahaa!. Lile toto lake ngoja tumuulize lilikoelekea, maana ilikuwa balaa
hahahah daah wagogo walikuwa wanatuoma watu wa ajabu sana,heheh
 
hahahah daah wagogo walikuwa wanatuoma watu wa ajabu sana,heheh
Yaani mmewafungua macho saizi ndio wanajifanya wajanja kuzidi wote waishio hapa TZ. Mitaa ya kule nawaangaliaga tu, yaani mavazi ya wanafunzi wamekuwa wanacopy wanajipestia...wakati mwanzo walikuwa wakisema hawawezi kuvaa kama wale...waliamini wanachuo wote ni makahaba wa kutupwa, Leo naona nao mavazi yao yamekuwa yaleyale...hahahaa
 
kila siku nilikuwa nanunua gazeti la daily news ili kutafuta kazi .siku moja nikakuta kijarida cha ppra kimeandikwa matender waliyoaward kwa watu mbalimbali
nikaangalia kampuni ambayo ilikuwa imepewa tender kubwa nikaona moja ina bilion kadhaa. nikaingia mtandaoni nikatafuta contact zao
bahati nzuri kwenye website yao wameweka namba ya simu ya mkurugenzi .nikakuta kumbe yupo whatsup nikamtext akaniambia yupo nje ya nchi akija atanitafuta.siku moja akaniambia yupo dar ila anatafuta siku anitumie nauli .sikusubiria nauli nikaja dar nikamwambia nipo dar mzee.
akaniambia basi njoo jmosi tutakuwa wote mgt njoo saa tano.
nikaenda jmosi ile wakaniinterview saa saba akaniambia jtatu mapema uje kazini .
Mungu ni mwema nipo nae hapa sasa hivi tunaishi vizuri sana kweli tajiri hana roho mbaya .nampenda sana huyu mzee.
Na mm nisaidie ndugu yangu niunganishie nipate Kazi apo Nina degree ya environment na experience ya miaka 4 natafuta Kazi kwa hali na Mali nisaidie km hutojali
 
Yaani mmewafungua macho saizi ndio wanajifanya wajanja kuzidi wote waishio hapa TZ. Mitaa ya kule nawaangaliaga tu, yaani mavazi ya wanafunzi wamekuwa wanacopy wanajipestia...wakati mwanzo walikuwa wakisema hawawezi kuvaa kama wale...waliamini wanachuo wote ni makahaba wa kutupwa, Leo naona nao mavazi yao yamekuwa yaleyale...hahahaa
hahahah kwakweli tuliwaletea mabadiliko makubwa sanaa wale watu.watoto wa kikuyu walikuwa wanatuona watu wa ajabu,wahani mixer makahaba badae 2008 tushakaa mwaka mzima wakaanza kuchange,wakawa wananata na beat.enzi hizo vumbi mwanzo mwenga,bar yao kubwa ilikuwa Mangi sina enzi hizo.duka kubwa likikuwa la kweka tu...badae ikaja kufunguliwa savanna bar pale maghorofani,duuh hahahah
 
Mimi nina uzoefu mwingi katika swala zima la kutafuta Ajira, mbinu nyingine ni za kawaida/haki zingine ni za haramu. Na kuna wengi nimewasaidia either kwa ushauri tu kwa kuzingatia ABCD nilizowapa. Currently, mbinu ninayotumia kupata Kazi ni kuonana na mtoa kazi/bosi/mwajiri....sio CV, Portfolio, Uzoefu au Barua ndefu...changamoto yake ni Mapokezi/Reception/Walinzi, wengi watakuzuia ati hadu uwe na appointment na mtu unayetaka kumuona...

.lakini nikishavukaga hicho kipengele, ole mwajiri nimtie machoni na nishushe madini....HANIACHI NA KESHO YAKE HUWA NAANZA KAZI. Kwahiyo mbinu hii huwa naiita ni Siraha ya Kisaikolojia, Saikolojia ambayo nimeivuna kwa miaka kama 4 hivi ya utafutaji kazi. Yaani siku hizi hata huwa sisomi maswali mapya ambayo HR huwa wanagoogle na kuniandalia, au kubabaika na walivyojipanga....yaani kabla hajamaliza swali, tayari jibu ninalo ambalo litamoderate swali lake la pili!!!! patamu hapo.....so kazi nyingi huwa nazikosa either kwasababu ya formality tu, yaani tayari wana mtu wao lakini ukiondoam watasemezana " dah...hiki kichwa kilistahili kuwa hapa sema ndo ivyo mtoto wa bosi hana kazi!"

Pamoja mbinu hiyo, huwa nina hakikisha document zote zipo ready, yaani CV, barua, vyeti, recommendation letters, referrees (ambao mara nyingi huwa ni washkaji zangu ambao nimeshawalisha madini. maana ndugu au waajiri waliopita wameshachoka kila siku kusumbuliwa). Marafiki huwa nina wapanga "eb bhana ee, ni aje ninja wangu, utapigiwa simu na HR, mwambie Nyankunde namjua ni mchapa kazi, mpeni kazi...siwezi kuongea sana kwa sasa maana nipo kwenye Kikao!" mchezo kwisha.

Njia ya tatu ni haramu, but nani ambae sio haramu kwasasa?? NANI???....kila kitu ni feki. Nina dokta rafiki yangu na hata juzi alionekana kwa TV akinadi product zake, sasa nilipokuwa namfanyia kazi yake akasema" hivi km mkuu wa mkoa an vyeti vyeki lakini ameweza kuwa mkuu wa mkoa, kwanini mm nishindwe kuwa dokta??!!.....nilicheka sana, na nilitafakari kwa jicho la 3.

Nnjia hii inapita kwenye uvuvio huohuo niliouchanganua hapo juu japo sifa yake kubwa ni "Confidence", yaani ni sawa sawa na kufanya kosa lakini bado ujione mwenye haki na unastahili...yaani kile kitu kinaitwa dhambi/uongo/guilty/karma uone ni kama miradi ya wapiga dili tu lakini hizo vitu havipo (thi is my current mentality of course). Njia hii ni VYETI FEKI. yaani unamktuta mtu ana uzoefu na kazi flani, au graduate wa form six mwenye uwezo kabisa wa kufundisha watoto wa Secondary kwenye International School....ila kwakuwa hana vyeti vya ngazi za juu, mavyeti ya recognition, recommendation letters n.k., ataishia kupauka tu.

Sasa mimi nilisolve swala hilo kwa kujifunza Graphic Design/Digital Imaging, nikiri tu wazi hadi sasa kuna watu wapo kwenye ajira na wananizidi hela kwasababu nilispend the whole night to just get that IFM Certificate right just like the original one! na ndio wanaoniweka mjini maana nina siri zao. Sasa utaniuliza; vipi kuhusu NECTA, coz jina lazima liwe kwenye sytem yao n.k.....au vyeti vya siku hizi vinatoka na passport size....!! Hii siri siitoi, madude mengine ntashusha siku ingine.

Kufoji vyeti sipendi ila ni njaa tu wandugu, ila kwasasa nimeridhika na ajira niliyonayo. Ila WARNING KWA WANAFUNZI WA VYUO: acheni kusccan vyeti vyenu kwenye stationary zilizo karibu na Vyuo vyenu, watu huwa tunakuja na vifrash vyetu tulivyoagiza kutoka India, nikiingia pale nanyonya data za Stationary nzima *****....nikrudi gheto najichagulia jina zuri hahahaha!....hii ni mojawapo tu ya mbinu ya watu KASOMEA JINA HILI, KAAJIRIWA KWA JINA HILI...kumbe aliwaona wataalamu hahahah!

Pia nyie NECTA na viportal vyenu vya kuverify nyaraka, zuieni Mirroring za Portal zenu.

#I'mOut
Mkuu nakuomba PM kuna ushaur nadhan utakua mtu sahihi kunishauri
 
Yaan ungejua,,yaan kwanza kipindi hiki cha shida nawasoma watu wa ukweli na fake..
Hao ma secretary wa ma HR walivo na nyodo jamn..
Nitajaribu ya kupita vyuoni mwenyew..thank u fr the alert.

MKUU,

G.P.A YA NGAPI?
YA CHUO GANI?

TUANZIE HAPO.
 
Yaan ungejua,,yaan kwanza kipindi hiki cha shida nawasoma watu wa ukweli na fake..
Hao ma secretary wa ma HR walivo na nyodo jamn..
Nitajaribu ya kupita vyuoni pole sana hamna kitu kigumu kama utafutaji wa ajira, kwann usiende hata kwa kampuni za audit, etc!mwenyew..thank u fr the alert.
 
Back
Top Bottom