Ulioa/uliolewa katika umri gani?

Yaani ww unahisi tupo ulaya eti?? Mi ndo nilikuwa nimemaliza form four tu, certificate, diploma na degree nilivipata nikiwa nimeolewa na uzazi ukweli kuna vitu aunt zangu waliniumiza lkn nimewasamehe kwani hawakujua walilotenda


hongera sana mamy!hv kapeace jiran zako men wa miaka 27 anafaa kuoa kweli? bas mie huku wa miaka hyo HAWAFAI HATA KUPIGA NAO STRY WANAWAZA VIDUKU TU PYEE
 


BAS INategemeana na mume uliyenaye !
 
Nilioa nikiwa na 25 years. Japo kuna mende wanasema nilichokifanya ni sawa na kuondoka kwenye night party saa mbili usiku... Kwangu mimi sijawahi wala sijachelewa but it was a perfect time.
 
Yaani ww unahisi tupo ulaya eti?? Mi ndo nilikuwa nimemaliza form four tu, certificate, diploma na degree nilivipata nikiwa nimeolewa na uzazi ukweli kuna vitu aunt zangu waliniumiza lkn nimewasamehe kwani hawakujua walilotenda
Ila hivi sasa si unainjoi na familia yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…