Ulioa/uliolewa katika umri gani?

25 yrs is a good age for child bearing.
 
Nadhani umri ulioolewa wewe ndo sahihi kwa binti kuolewa
 
Nadhani umri ulioolewa wewe ndo sahihi kwa binti kuolewa


ah hmna bwana baba aliniambia mbiti we bado mtoto saanna kuolewa nw nikawa simwelew nw namuelewa!hapana bana ateast 29 huko ushakomaa akili na kubeba majukumu mengi !
 
Ulijichimbia wapi mamito??
Niliolewa na 18 kasoro wakati huo mume alikuwa 32, niliolewa zile ndoa km za kizamani analetwa mume na mashangazi na mume nilimjua siku naenda kuolewa, kisa tu cha aunt kunifanyia ivo ni story ndefu best


duh !pole sana jaman !ndo hyu uiyenaye sasa hv !uwii 14yrs du parefu !hebu tuambie ilikuaje ? aiseee pole naogopa maskini ht kusikia hyo stry !
 
pole mwaya...kuna wengine wakiolewa bado mawazo ya kula bata hayaondoki..mwiaho mifarakano..magomvi tupu!
 
ah hmna bwana baba aliniambia mbiti we bado mtoto saanna kuolewa nw nikawa simwelew nw namuelewa!hapana bana ateast 29 huko ushakomaa akili na kubeba majukumu mengi !
29 ngumu kumeza, 24-26 ndo nilipenda kuolewa humo
 
duh !pole sana jaman !ndo hyu uiyenaye sasa hv !uwii 14yrs du parefu !hebu tuambie ilikuaje ? aiseee pole naogopa maskini ht kusikia hyo stry !
Imejaa maumivu ya kihisia coz mume sikumpenda ukumbuke hilo, lkn nilitulia kwa hofu ya walezi waloniozesha ilinichukua muda kuupokea uhalisia,
 

Nimeoa nikiwa na miaka 27. Sijawahi kujuta kuwahi kuoa. Nitakapofikisha miaka 50 mwanangu wa mwisho atakuwa anagraduate university. Hapo mimi na bibi yenu ndo tutakapoanza maisha ya ujanani...

Ee Mungu nisaidie...
 
miaka hii vijana wa miaka 27 jaman wana akili za kitoto jaman hupat kusema !na wasichaan 23 jaman aingie ndoani amesoma saa ngap? atleast uolewe ukiwa una kamasters kako umefel sana kadgree
master unasoma ukiwa mama wa familiar haizuiwi ukianza uzazi una miaka 33 mtoto afike miaka 20 wewe una 53 bado 7 ustaafu chuo atasoma kwa shida sana huyo mimi nimezingatia umri unaokuwa na nguvu hata kwa kubeba magunia mgongoni watasoma tu wa kuolewa ukiwa chuo au wahi kuoa ukiwa chuo
 
miaka hii vijana wa miaka 27 jaman wana akili za kitoto jaman hupat kusema !na wasichaan 23 jaman aingie ndoani amesoma saa ngap? atleast uolewe ukiwa una kamasters kako umefel sana kadgree
Yaani ww unahisi tupo ulaya eti?? Mi ndo nilikuwa nimemaliza form four tu, certificate, diploma na degree nilivipata nikiwa nimeolewa na uzazi ukweli kuna vitu aunt zangu waliniumiza lkn nimewasamehe kwani hawakujua walilotenda
 
Ulijichimbia wapi mamito??
Niliolewa na 18 kasoro wakati huo mume alikuwa 32, niliolewa zile ndoa km za kizamani analetwa mume na mashangazi na mume nilimjua siku naenda kuolewa, kisa tu cha aunt kunifanyia ivo ni story ndefu best
Duuuh pole sana!!! Haya ndio malimwengu ya walimwengu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…