Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,270
Bado ikifika mda nitaoaWewe umeoa?
Ongera sana ni mipango ya MunguNilikuwa nimepanga kuoa nikiwa na 40 yrs ila kuna mjanja akanikamata mapema kwenye 30 yrs,ila kanikosesha bata zangu nilizokuwa nimezipangilia ila nina imani kufikia 40 yrs lazima nile bata za kutosha
Ndoto yangu kwa hapa duniani ilikuwa ni kuishi kama wanyama wa porini
TujitahidiKila nikikumbuka ile ndoto nipo ukweni nadai mahari tena kwa fujo nasita kbs kuoa😂😂
Tupe sasa
Mpaka sasa sijamwona Intelligent businessman
Jitahidi utapataMpaka sasa sijamwona Intelligent businessman
Daah waswahili 😄🙌nawaza we ndo ma mkwe wa mtu.Usidanganyike😂
Acha kunivukisha miaka Mimi bado Gen ZDaah waswahili 😄🙌nawaza we ndo ma mkwe wa mtu.
Ndo ufanye uolewe achana na ugen Z muda sio rafiki.1
Acha kunivukisha miaka Mimi bado Gen Z
😹
Niolewe nikateseke😹Ndo ufanye uolewe achana na ugen Z muda sio rafiki.
😂😂😂💥Nilikuwa nimepanga kuoa nikiwa na 40 yrs ila kuna mjanja akanikamata mapema kwenye 30 yrs,ila kanikosesha bata zangu nilizokuwa nimezipangilia ila nina imani kufikia 40 yrs lazima nile bata za kutosha
Ndoto yangu kwa hapa duniani ilikuwa ni kuishi kama wanyama wa porini
Andaa mazingira ya usingle mother usije kulia lia baadae.Niolewe nikateseke😹
I'll marry the right person and for onceAndaa mazingira ya usingle mother usije kulia lia baadae.
Similar type of situation.Nimeanza kuishi na mwanamke nikiwa na 23 nikamuoa rasmi nikiwa 31.
😁You will marry or be married?I'll marry the right person and for once
Same here ..maisha yalobakia na mimi nimeopt nile bata tu na wanangu..najipanga kwa hiliNilikuwa nimepanga kuoa nikiwa na 40 yrs ila kuna mjanja akanikamata mapema kwenye 30 yrs,ila kanikosesha bata zangu nilizokuwa nimezipangilia ila nina imani kufikia 40 yrs lazima nile bata za kutosha
Ndoto yangu kwa hapa duniani ilikuwa ni kuishi kama wanyama wa porini
I'll marry married hio ni yenu😁You will marry or be married?