Kwakweli ni kumwomba Mungu tu, na kuhakikisha kuna ulinzi wa kutosha basi.., maanake ukisema ujilindie mwenyewe kama hivyo nayo ni hatariNi kweli pia,
Kuna mkinga tumempangisha aisee duka stoo pia limejaa na analalaga mwenyewe nawazaga likitokea la kutokea itakuwaje[emoji3]
Mungu aepushe,l
Hahaha hapo kigaigai. Je ni reliable wana insurance?300,000 kampuni za kigaigai Hadi 200,000
Wako full insured ni vile tu wanawanyonya walinzi wao kiufupi staff wao hawana maisha wanakula 80k na mzigo wa pundaHahaha hapo kigaigai. Je ni reliable wana insurance?
Ila swala la ulinzi wa maisha yako na familia yako na mali ni muhimu. Wezi ni wengi sana.
Acheni uoga kama kuna mtu analala ndani sasa lakutokea likitokea si atapambana hao ni vibaka kama kuna mtu hawawezi kuingia kwani mlinzi anamzidi nini sana huyo kijana.Ni kweli pia,
Kuna mkinga tumempangisha aisee duka stoo pia limejaa na analalaga mwenyewe nawazaga likitokea la kutokea itakuwaje[emoji3]
Mungu aepushe,l
Si rahisi ki hivyo.Acheni uoga kama kuna mtu analala ndani sasa lakutokea likitokea si atapambana hao ni vibaka kama kuna mtu hawawezi kuingia kwani mlinzi anamzidi nini sana huyo kijana.
Apewe silaha kama panga, mkuki, mshale na nyingine nitakuambia pm. Fikiria ni wewe upo ndani wezi wamekuvaamia kwanza unapiga filimbi na kisha kuangalia namna ya kupambana na kujiokoa ikibidi. Uoga ni mbaya sana mwaka juzi alivaamiwa jirani yangu.
Akaanza kupiga kelele ndani ya fensi yake mvua inanyesha kusikia nikafungua mlango nikaanza kurusha mawe juu ya bati lake na kipiga kelele wezi/ vibaka hawaondoki wanakagua mtu wanakuja kweli.
Walikuwa ni wenyeji wa mtaa kumbe wanajiamini na walikuja kulipa kisasi/ kumuua jamaa nikamuasha dogo nikafika getini wakaona so nao wakatoka wanazuga yukwapi akasepa wengine walitokea kwenye fensi hivyo ndivyo nilivyomuokoa jamaa.
Ukivaamiwa uko ndani na familia unafanyaje? Nje kuna vibaka 2-3 unafanjaje? Ishu ni kujiandaa kujilinda na vibaka wenye silaha za jadi. Ukiwazidi kidogo lazima wapotee ila lengo lako liwe ni kitoa uhai wao.
Kawaida kibaka akiwa anavunja au kufungua mlango akisikia umeamka
Wewe umewaza kuvamiwa tu,Acheni uoga kama kuna mtu analala ndani sasa lakutokea likitokea si atapambana hao ni vibaka kama kuna mtu hawawezi kuingia kwani mlinzi anamzidi nini sana huyo kijana.
Apewe silaha kama panga, mkuki, mshale na nyingine nitakuambia pm. Fikiria ni wewe upo ndani wezi wamekuvaamia kwanza unapiga filimbi na kisha kuangalia namna ya kupambana na kujiokoa ikibidi. Uoga ni mbaya sana mwaka juzi alivaamiwa jirani yangu.
Akaanza kupiga kelele ndani ya fensi yake mvua inanyesha kusikia nikafungua mlango nikaanza kurusha mawe juu ya bati lake na kipiga kelele wezi/ vibaka hawaondoki wanakagua mtu wanakuja kweli.
Walikuwa ni wenyeji wa mtaa kumbe wanajiamini na walikuja kulipa kisasi/ kumuua jamaa nikamuasha dogo nikafika getini wakaona so nao wakatoka wanazuga yukwapi akasepa wengine walitokea kwenye fensi hivyo ndivyo nilivyomuokoa jamaa.
Ukivaamiwa uko ndani na familia unafanyaje? Nje kuna vibaka 2-3 unafanjaje? Ishu ni kujiandaa kujilinda na vibaka wenye silaha za jadi. Ukiwazidi kidogo lazima wapotee ila lengo lako liwe ni kitoa uhai wao.
Kawaida kibaka akiwa anavunja au kufungua mlango akisikia umeamka
Kuna makufuli hizo master key c chochote c loloteKitasa ndio ilikuwa option kwang, lakini kuna mchangiaji mmoja hapo kasema kuwa wezi wanatumia Master Key [emoji1006]
Dah! Ni mtihani kwakweli.
Kufuli lipo kwa ndani anakataje sasa? Labda abomoe geti zima kitu ambacho ni ngumuUpo sahihi Mkuu.
Lakini sasaivi hawakati/Kufungua kufuli ni wanakata zile tundu za kuingizia kufuli