Upo sahihi Mkuu, lakini inshu ya kuweka mlinzi ni kwamba Fremu zetu zipo mbalimbali, yani ni kila mtu kwenye makazi yake binafsi. Changamoto nyengine ni udogo wa biashara zetu kumuweka mlinzi.Kama pamejitenga sana wekeni mlinzi wa kampuni na mfunge na CCTV camera
Muweke kijana alalage.Upo sahihi Mkuu, lakini inshu ya kuweka mlinzi ni kwamba Fremu zetu zipo mbalimbali, yani ni kila mtu kwenye makazi yake binafsi. Changamoto nyengine ni udogo wa biashara zetu kumuweka mlinzi.
Upo sahihi, na asante kwa mchango wako Mkuu.Wezi ni wabaya, kwangu nawaweka daraja moja na wachawi tu.
Mtu mwizi simpendi kiukweli.
Hapo ufanye mpango wa mlinzi tu, pigeni donation(donee) kila mtu akitoa sh 30 kwa mwezi, mnamuungia jamaa anawalindia.
Sahihi kabisa. Mlinzi wa kuaminika, ndiyo suluhisho pekee. Maana hata uweke kitasa cha aina gani, wezi hawajawahi kushindwa kuingia ndani ya jengo.Suluhisho hapo ni mlinzi vinginevyo ni hatari sana hasa kipindi cha mvua.
Hii mbaya sana, kijana anaweza kudhurika na hao wezi au hata short ya umeme.. sio vizuri kabisaMuweke kijana alalage.
Wana master keyHabari zenu Wakuu,
Mimi ni mfanya biashara na nina fremu yangu mahali, sasa kuna jirani yangu amevunjiwa fremu yake na wezi na imepelekea na sisi wafanyabiashara wengine tuwe na wasiwasi kuhusu hilo tukio.
Yeye alievunjiwa ni ana geti na huwa anafunga na kufuri tu, lakini wamekata zile tundu za kuingizia kufuli na kuingia Dukani kwake.
Hapa shop kwangu namimi nina geti kama lake, sasa nilikuwa nafikiria kuweka kitasa kwenye geti langu ili niwe nafunga na kufuli pamoja na kitasa.
Wakuu nikiweka kitasa cha geti kitasaidia, au na hicho wezi wanambinu ya kukivunja?
NITASHUKURU MKINIJIBU
Ni kweli pia,Hii mbaya sana, kijana anaweza kudhurika na hao wezi au hata short ya umeme.. sio vizuri kabisa
Ulinzi shirikishi ni chief option mkiwapa vijana ten ten wapige doria vibaka wqkijua Kuna ulinzi wanapunguza speed ata kama walinzi wenyewe wanalalaga muda mwingiUpo sahihi Mkuu, lakini inshu ya kuweka mlinzi ni kwamba Fremu zetu zipo mbalimbali, yani ni kila mtu kwenye makazi yake binafsi. Changamoto nyengine ni udogo wa biashara zetu kumuweka mlinzi.
Mkuu walinzi wa kampuni wanagharimu shing' ngapi?Kama pamejitenga sana wekeni mlinzi wa kampuni na mfunge na CCTV camera
300,000 kampuni za kigaigai Hadi 200,000Mkuu walinzi wa kampuni wanagharimu shing' ngapi?
Mkuu hivi hawa wezi has vibaka wa usiku wanatumia uchawi? Kwasababu sijawahi Sikia wanakamatwa. Na kama kukamatwa mara chache.Wezi ni wabaya, kwangu nawaweka daraja moja na wachawi tu.
Mtu mwizi simpendi kiukweli.
Hapo ufanye mpango wa mlinzi tu, pigeni donation(donee) kila mtu akitoa sh 30 kwa mwezi, mnamuungia jamaa anawalindia.