Ulinzi shiriki mtaa wa Sinza C umeoza

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
Salaam,
Napenda kutoa malalamiko yangu juu ya ulinzi shirikishi mtaa wa sinza c ambapo wananchi wamekuwa wanaibiwa kila mara huku wakilazimishwa kulipia pesa za ulinzi shirikishi kila mwezi kwa 3,000/= ukienda kwa mtendaji kudai haki yako yeye akishirikia na mwenyekiti wa mtaa wanawabeba au kuwatetea walinzi hao na huku kukiwa na malalamiko kuwa wao ndiyo wanawaleta wezi na kuwasimamaia kuiba kisha kugawana pesa haingii akilini stationary inahamishwa yote je hao walinzi huwa wako wapi naje nani awajibike katika hilo na kivipi
Asanteni!!
 
Back
Top Bottom