Ni muhimu zaidi hasa kwa wakati huu ambapo tunafanyiwa operation ya kung'olewa meno na kucha bila ganzi. Ingawa haitamaliza tatizo kabisa kwani hata osama na gadafi walikufa nazo.
Dawa yao tuandamane kushinikiza waanze kutumia Ganzi wakati wakitukung'oa meno, then tuwashinikize watumie "Nail Cutter" wakati wakitung'oa kucha.