Ulinzi mkali watanda uwanja wa taifa

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Sijawahi kuona hali hii simba na yanga zikicheza, ni kama kuna shughuli za kisiasa.
Vifaa hizi huwa vinapatikana wakati wa uchaguzi
FB_IMG_1488014358122.jpg

TFF inasema kuna askari zaidi ya 350 na camera zaidi ya 40 kusimamia ulinzi
 
Hahaaaa hapa nagundua hakuna weledi Bali hisia tuu
Pia sioni kosa kama wameina kuna viashikia vya uvunjifu wa amani.wanatiwa stress
 
Nashukuru leo barabara nyeupee hakuna usumbufu. Leo road ni full kukamua...
 
Hahaaaa hapa nagundua hakuna weledi Bali hisia tuu
Pia sioni kosa kama wameina kuna viashikia vya uvunjifu wa amani.wanatiwa stress
Ingekuwa mkutano wa chadema na wamenusa viashiria vya uvunjifu wa amani wala wasingehangaika kuleta ulinzi bali wangepiga marufuku mkutano wenyewe.....hapa kwa sababu ccm ina maslahi lazima mechi ichezwe ili hela ipatikane.....policcm
 
Tatizo hao Wagambo wakiingia uwanjani hawalindi mashabiki wao wanaangalia mpira tu
 
Back
Top Bottom