GE2025 Ulinzi mkali asubuhi hii Mahakama Kuu Kesi ya Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Kutoka viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, hivi ndivyo hali ilivyo asubuhi hii ambapo maafisa wa Jeshi la Polisi wanaonekana wakiimarisha ulinzi

Ikimbukwe kuwa, pamoja na mambo mengine kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu inaendelea tena leo Mahakamani hapo.

View attachment 3473137

Tulishakwambia ujitendee haki kwa kuwa unaandika "ulinzi usio na maana!"

Kwani unadhani hata kama wasingekuwapo hapo kwa kulikuwa na shida gani ndugu?
 
Back
Top Bottom