Ulinzi kwenye SIMU YAKO ya android..!

Ulinzi kwenye SIMU YAKO ya android..!

thefreedot

Senior Member
Joined
May 21, 2015
Posts
135
Reaction score
25
Njoo nikuwekee ulinzi kwenye simu yako utakao kusaidia kuifanyia tracking kipindi inapotea...! Bila ya aliyeichukua kujua...! Tsh. 5,000 kwa sasa nafanyia simu za android tu...!
0655-659-115, 0624-132-227 Whatsapp : 0769-663-092
 
how it works?na elf 5 kwa kila muda gan nalipa?je device nyingine huziwekei kama laptop,pikipiki n.k
 
Unalipia mara moja tu mkuu...kuhusu tracking ya vitu nina jamaa yangu anayefanya...bajaji..pikipiki...magari...laptop...etc...
 
More info kuhusu tracking ya magari na pia personal asset tracking pls.
Unalipia mara moja tu mkuu...kuhusu tracking ya vitu nina jamaa yangu anayefanya...bajaji..pikipiki...magari...laptop...etc...
 
Njoo nikuwekee ulinzi kwenye simu yako utakao kusaidia kuifanyia tracking kipindi inapotea...! Bila ya aliyeichukua kujua...! Tsh. 5,000 kwa sasa nafanyia simu za android tu...!
0655-659-115, 0624-132-227 Whatsapp : 0769-663-092
vipi kama ishaibiwa na mimi nafahamu IMEI namba tu?
 
Weka utaratibu kuhusu ulinzi wa gari maana nina ndinga langu mziki mzito sana, nailaza uwani pako wazi tu hali inayopelekea kulala macho macho
 
Njoo nikuwekee ulinzi kwenye simu yako utakao kusaidia kuifanyia tracking kipindi inapotea...! Bila ya aliyeichukua kujua...! Tsh. 5,000 kwa sasa nafanyia simu za android tu...!
0655-659-115, 0624-132-227 Whatsapp : 0769-663-092
Mkuu maelezo yako hayana nyama za kutosha embu fafanua huo ulinzi maana siku hizi sm zinabadilishwa mpaka dini
 
Back
Top Bottom