Ulindindi na ulimbombo Nani aende kuchinjwa!!

Ulindindi na ulimbombo Nani aende kuchinjwa!!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
n.jpgn.jpgn.jpgn.jpg
 
Haya majamaa huwa hayajielewi kabsaa.nakumbuka tulikuta limefumua banda lenye zege ngumu usiku,shimo kubwa likatoka likanda kuogelea kwenye matope.
 
Umenitamanisha Nimekumbuka Nyumbani mitaa yangu ya Pale maeneo ya Kinondoni!!

Halafu eti kanakuja kajamaaaa apa na swine nini nini sijui...me akiwa na mafua namnyonya kwanza mafua alafu weka kachumbari dadadeki
 
Back
Top Bottom