Ulimwengu wa pdf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulimwengu wa pdf

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Nov 1, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Nov 1, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ULIMWENGU WA PROGRAMU ZA KOMPUTA UNAZIDI KUKUWA SIKU HADI SIKU KWA KASI YA AJABU SANA KILA KAMPUNI INALETA BIDHAA AMBAYO INANYONGEZA NA INAYOWEZA KUFANYA KAZI ZAIDI KUTOKANA NA MAHITAJI YA WATU WENGI KATIKA ULIMWENGU WA ICT .

  MOJA YA BIDHAA HIZI NI ZILE ZA PDF – PORTABLE DOCUMENT FILES , KWA MUDA SASA WATU WENGI WAMEZOEA KUNUNUA NA KUTUMIA BIDHAA ZA ADOBE KWA AJILI YA KAZI ZAO ZA KIOFISI HASWA KATIKA KUPANGA , KUTENGENEZA NA KUHIFADHI NYARAKA ZAO KWA MFUMO FULANI WA USALAMA ZAIDI

  NAYO KAMPUNI YA ADOBE AMBAYO NDIO IMESHIKA SANA SOKO LA PDF IMEKUWA INAIMARISHA PROGRAMU ZAKE HASWA YA ACROBAT READER – YA KUSOMEA PDF NA ACROBAT READER PROGFESSIONAL – YA KUSOMEA PDF , KUFANYA MABADILIKO NA KUWEKA USALAMA , LAKINI PROGRAMU HIZO NILIZOZITAJA HAPO JUU KILA SIKU ZINAKUWA KUBWA ZAIDI KWAHIYO ZINAHITAJI MTU AWE NA KOMPUTA YENYE NAFASI ZAIDI , YENYE MEMORY KUBWA ZAIDI NA SPIDI KUBWA YA CPU .

  KATIKA JAMII ZINAZOENDELEA NA NGUMU SANA KUWEZA KUENDANA NA MAENDELEO HAYO YA ADOBE INGAWA PROGRAMU HIZO ZINAVYOKUWA WANAWEZA VITU VINGI ZAIDI NA ZIKO SALAMA ZAIDI WATU WENGI WANASHINDWA KUNUNUA AMBAZO NI HALALI WENGI WANAKIMBILIA BANDIA AMBAZO MWISHO WA SIKU ZINAWALETEA BALAA .

  LAKINI KWA MIAKA YA KARIBUNI KUMETOKEA WASHINDANI WAPYA SOKONI AMBAO BIDHAA ZAO ZINAFANYA KAZI ZAIDI ZILE ZILE ZA ADOBE NA ZAIDI NA BIDHAA HIZI HAZIHITAJI WAKATI MWINGINE UWE NA MEMORY KUBWA WALA CPU YENYE KASI ZAIDI NA MAMBO KAMA HAYO

  KAMA UNATAKA KUSOMA TU VITABU AU NYARAKA ZA PDF HAUHITAJI TENA KUWA NA ADOBE ACROBAT 9 AMBAYO NDIO SASA INATESA SOKONI , KUNA FOX PDF READER , FOX PDF HAUHITAJI KUINSTALL NA NI NDOGO SANA YENYE INAUKUBWA WA MB CHINI YA 3 UKISHADOWNLOAD UNAKOPY NA KUPASTE KATIKA KOMPUTER YAKO KISHA UNA CLICK MARA MOJA UTAWEZA KUSOMA NYARAKA ZAKO ZOTE ZA PDF , HII INAFAA SANA KWA WALE WENYE P2 , P3 NA KOMPUTER ZENYE MEMORY NDOGO .

  UNAPOPATA HIZI NYARAKA ZA PDF NA UNATAKA KUFANYA MABADILIKO FULANI – EDITING , FOX PDF PIA INA BIDHAA YA KUFANYA HIVYO ILA NAKUSHAURI UTUMIE VERYPDF EDITOR , HII ITAWEZA KUBADILISHA KUTOKA PDF KWENDA WORD AU KUNA PDF SUITE , NITRO PDF INA UKUBWA WA CHINI YA 25 MB ITAWEZA KUFANYA KAZI ZAKO KWA UZURI ZAIDI KUHUSU NYINGI YA PROGRAMU HIZO NILIZOTAJA NI BURE UNAWEZA KUTAFUTA TU KATIKA MTANDAO UKADOWNLOAD .

  AU KAMA UNA PDF UNATAKA KUWEKA PWD , KUWEKA BAADHI YA PERMISIONS AU KUONDOA PWD UTAWEZA KUKUTANA NA PDF EXTRACTOR HII ITAKUWEZESHA KUONDOA PWD KATIKA NYARAKA ZAKO ZA PDF ILI UWEZE KUTUMIA NYARAKA HIZO KWA MTINDAO AMBAO WEWE UNAONA NI NZURI ZAIDI .

  SASA BAADA YA KAMPUNI YA ADOBE KUJUA USHINDANI HUU WA MASOKO WAMEKUJA NA PROGRAMU ZAO ZINGINE HASWA ZA PDF AMBAZO NI PORTABLE ZENYEWE INAFANYA KAZI ZIKIWA NDANI YA FLASH TU AU NDANI YA CD BILA KUINSTALL KATIKA KOMPUTA YOYOTE ILE KWA SASA KUNA ADOBE PDF PROFESIONAL 8 PORTABLE AMBAYO NI MB 20 TOFAUTI NA ILE YA KAWAIDA AMBAYO NI ZAIDI YA 200 MB .

  KWAHIYO NI SHAIRI YAKO WEWE MTUMIAJI KUAMUA UCHAGUE LIPI NA UFANYE LIPI , LAKINI SIONI SABABU YA WATU KUINGIA GHARAMA KUBWA ZAIDI KWA AJILI YA KUPATA PROGRAMU AMBAZO ZINGEWEZA KUPATIKANA TU KWA NJIA RAHISI NA GHARAMA NDOGO ZAIDI .

  UNAPOTUMIA PROGRAMU HIZO KWA MAKOSA NA KUSABABISHA KUHARIBIKA KWA KAZI ZAKO MIMI SINTOHUSIKA NA CHOCHOTE WALA LOLOTE HUU NI MTAZAMO WANGU NA USHAURI WANGU BINAFSI .

  MWISHO KABISA KAMA UNATAKA KUEPUKA DHAHAMA NYINGI KATIKA PROGRAMU HIZO NI VIZURI UPATE HALALI KUTOKA KWA WAUZAJI AU WASAMBAZAJI HALALI WA BIDHAA HIZO AMBAO WATAWEZA KUKUPA MSAADA WAKATI WOWOTE UTAKAPOHITAJIKA .

  YONA F MARO
  hollymaro@gmail.com
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Good boy!:)
   
 3. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2008
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thanks for the good info maana IT ni kitu kigumu hasa kwa sisi ambao tuna mwangaza kidogo katika hili.

  Sory nataka kujua kama ni possible kuskani na kuhifadhi document ktk PDF na kama possibe how to go about au kuna program maalumu ya kufanya hivyo.

  Thanks in advance
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Nov 2, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  unaweza kuscan file hilo kisha ukaconvert kwenda pdf program ya adobe profesional 6 na kuendelea inaweza kufanya hivyo hata hiyo pdf suite niliyokuambia pia inaweza kufanya hilo jambo , cha kufanya ukiconvert moja una add zingine kama ni picha then utazisoma kwa mtiririko nafikiri umeelewa mchana mwema
   
 5. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pamoja mkuu nadhani unatusaidia wengi sana asante sana na tutafika tu kwa msaada wako wa maana.
   
Loading...