Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Soma tena kwa makini
badoo sielewi kitu,mafumbo mengi
Soma tena kwa makini
Dunia inaendeshwa na ulimwengu wa roho... Ninaposema dunia namaanisha kila kilichomo ndani yake kinachoonekana kwa macho... Kiingereza wanaita solid statebadoo sielewi kitu,mafumbo mengi
Huu utan wa ngumi [emoji109] [emoji109] una nn lakini wewe mzee wa churaUkitaka kujua ulimwengu wa macho ni mwepesi sana utashangaa Demiss ataleta issue za mapenzi kwenye mada ngumu kama hii halafu hata aibu hana!![emoji53][emoji53][emoji53]
Nitafutie kwanza rafiki yako mwenye chura ndiyo nitatulia![emoji28][emoji28][emoji28]Huu utan wa ngumi [emoji109] [emoji109] una nn lakini wewe mzee wa chura
Loooh sitak mm siyo kipikpik postaNitafutie kwanza rafiki yako mwenye chura ndiyo nitatulia![emoji28][emoji28][emoji28]
Mmh hii mada imekuwa ngumu kiasi hiki!!? Hiyo ijayo sas a itakuwaje!!?
Tatizo baadhi ya watu wamezoea kusoma jujuu tu Bila kutafakari kiundani, We shusha hiyo mada tu wale watakaoelewa wataelewa na kinyume chake vile vile!Mmh hii mada imekuwa ngumu kiasi hiki!!? Hiyo ijayo sas a itakuwaje!!?
JIWE linaelekea kubomoa milango ya Benki lisepe na hela yote. Ikiwezekana kukodisha hata wale "wanyamulenge" wa M7.KAKA KHERI YA PASAKA.
AKUELEWAGA SANA NIKISOMA MADA ZAKO, ILA LEO UMENIPA CHEO CHA MKUU WA MKOA PENDWA.
USISAHAU KUNITAG KWENYE NADA TARAJIWA, PIA UKUMBUKE PESA ZETU TSHS 26,042,018 PEKEE.
KWAHIYO NDIO MAANA LIMELIPIA PIPE-DEAR HARAKA?.JIWE linaelekea kubomoa milango ya Benki lisepe na hela yote. Ikiwezekana kukodisha hata wale "wanyamulenge" wa M7.
Inaanza lini?,,,,unitag plizSoma tena kwa makini