Naomba kuuliza kabla sijajiunga ni hii huduma...
Je!inachukua muda gani kwa tv station kubadili masafa?maana isije ikawa kila mwezi namuita fundi kunisetia
wakuu, juzi pale kariakoo niliona decoder inayotumia laini ya simu kushika channel, na muuzaji alisema unaweka hata jero na unaweza angalia kwa takriban wiki moja. Naombeni ushauri kwa aliyewahi kutumia decoder hizi, nataka nikainunue.
Kama kuna watu wanamiliki canal+ na pengine wanapata shida kufanya malipo au wanalipa pesa nyingi zaidi ya uwezo wao naomba wanione. watapata unafuuu wa malipo na kwa wakati.
Ndimi mkuu wa mtaa huu.