Ok! anza na menu nenda satellite list bonyeza ok kisha itakupeleka pale kwenye Eutelsat w bonyeza batoni ya kijani chini ya rimoti yako,add satellite yaani tunga kwa kuipa jina mfano "Eutelsat w9" kisha weka input freq iwe ile ya 9600/10600 kama sijakosea kisha press menu kusave,rudia tena hatua hizo hizo ukifika katika satelliye list nenda katika ile satellite ya kutunga(Eutelsat w9) bonyeza ok bonyeza yena batoni ya kijani(add) ingiza hiyo transponder sasa 10721 H 30000,zitaingia chaneli 27 ikiwemo na Emmanuel tb,sunna tv,quran tv,muvi tv na nyingine nyingi tu.
top movies back on eutelsat 7w,sasa unaweza kuipata top movies chanel maarufu na yenye movie za ukweli ktk eutelsat7w.waliifunga kwa muda mrefu lakini sasa naona wameiachia.pia ziko chanel nyingi sana zaidi ya hiyo 10873 v 27500 Eutelsat 7 West A at 7.3°W - LyngSat
Namwomba Mwenye ujuzi na Astra 2F Atusaidie ujuzi wa kuinasa!!!ikiwezekana atupie picha ya dish linaloitajika na mwelekeo wake na size ya dish,Natokea Arusha Mjini