kwa msaada 2 kaka japo waweza kukusaidia,tumia solid dish(dish ya bati) ya futi 8 Eurostar ni nzuri zaidi na utumie prime focus ku band ya Fuji ya high gain,na hawa jamaa wapo 25'E,karibu kabisa au ni sawa na badr 26'E,kama itasumbua jaribuni kutafuta kuanzia hata saa 11 jioni, tumia 11604 H 27500 dvb mpeg 2,11084 H 27500 dvb-s2 mpeg4 hd,ila kaka hapo kuna vitu viwili,kwanza kuna kupata signal ya hiyo bein sport yenyewe,pili unapata signal lakini decoder yako inashindwa kuwasiliana na sever zao,je wewe kipi kinakusumbua hapo?alafu unakaa maeneo gani kaka hapa dar?