Habari
ndugu bonykaaya,
Unaweza pata NatGeo Gold kwenya Africasat-1A
@ 46° East >>>>National
Geographic Channel - Videos, TV Shows & Photos - Sub-Saharan Africa
Gold
Prime focus dish ya 1.8 meter yatosha kupata hi satellite.
Africasat-1A @ 46° East Footprint
NatGeo Gold iko frequency 3730 V DVB-S2 SR 30000
Kama Astrovox receiver yako iko
DVB-S2
compliant
, utapa hi frequency.
Tena Astrovox receiver iwe nauwezo wakufungua Biss Key kwani hi chaneli
iko coded under biss.
Utapa Biss key Ya NatGeo Gold kwenye link>>>>
Key-Sat: Biss
Mimi natumia Strong 4922 HD receiver>>>
Picha za NatGeo Gold>>>>
Tena
kwenye hiyo frequency kuna channel kutoka Africa kusini inaitwa GLOW
TV.
Pamoja
Ndugu.
Je lnb with 0.3 noise reduction can be of use?
Nenda con electrnonic
tried with a 0.1 Fuji and didn't hit the green on this sat but only ses 5 all the way and all de time, i don't know where i might 've messed up. More elaboration please!Sijawahi kufanikiwa ki lock
Nile sat kwa 0.3 !! Lakini nisikukatishe tamaa ,for some reason
manufactures hawalinangani katika vipimo , inaweza ikawa ni 0.3 kutoka
kwa decent brand ,na ikai-out perform 0.1 db ya brand nyingine .. You
can still chance ..
tried with a 0.1 Fuji and didn't hit the green on this sat but only ses 5 all the way and all de time, i don't know where i might 've messed up. More elaboration please!
blah blah nyingi watu tunakula bure package yenu..jidanganyeni tu kwamba hatuzipati tena.....Wale waliokuwa wanapata free package ya TING kwa sasa wameifungia
Habari zenu watazamaji kupitia dikoda ya TING? Kwa muda kama mwezi saba na, mitambo yetu iliachwa wazi, na wote wameangalia BURE bila malipo ya mwezi yeyote.
Kwa sasa kwa wale ambayo wana dikoda ya AAL 3, tafadhali lipeni malipo ya mwezi ili kuepuka kukatwa matangazo. Kumbuka ni system ya automatik, na sio kwamba mtu amekatwa moja moja. Kama mtandao ya simu inakatwa ikiwa malipo imeshisha!. Tunaamini umetuelewa.
Please kama umesha lipa, utujulishe kupitia 'inbox' , jina kamili, mkoa, namba ya simu, namba ya dikoda na uthibitisho ya M-pesa 800800 au benki.
Tunawatakia watazamaji mwema!
Na kwa wengine wanaotuona BURE kupitia dikoda ingeni, hamtatupata tena. Inabidi kutafuta dikoda ya TING! Bora Kuliko yenye channel zaidi ya 70+.
Karibu moja, karibu wote!
blah blah nyingi watu tunakula bure package yenu..jidanganyeni tu kwamba hatuzipati tena.....
Habari ndugu bonykaaya,
Unaweza pata NatGeo Gold kwenya Africasat-1A @ 46° East >>>>National Geographic Channel - Videos, TV Shows & Photos - Sub-Saharan Africa Gold
Prime focus dish ya 1.8 meter yatosha kupata hi satellite.
Africasat-1A @ 46° East Footprint
NatGeo Gold iko frequency 3730 V DVB-S2 SR 30000
Kama Astrovox receiver yako iko DVB-S2 compliant , utapa hi frequency.
Tena Astrovox receiver iwe nauwezo wakufungua Biss Key kwani hi chaneli iko coded under biss.
Utapa Biss key Ya NatGeo Gold kwenye link>>>> Key-Sat: Biss
Mimi natumia Strong 4922 HD receiver>>>
Picha za NatGeo Gold>>>>
Tena kwenye hiyo frequency kuna channel kutoka Africa kusini inaitwa GLOW TV.
Pamoja Ndugu.
Dah leo imebidi ninunue finder ili uwindaji uwe na uhakika,
View attachment 123296
Nadhani itasaidia hiyo ni nilesat 7w
Wenyeji wahum ndan naomba ushauri wenu,kunamtu ana recver aina ya WIZTECH 999 haitumii kwan aliyeset alimpa dish la ZUKU chanel zote zandani ya TZ local channel zilishika sasahiv hazshik tena.Mim nna recver ya ZUKU na dish lake ila situmii nilishindwa kulipia na pia ninadish la ft 6 narecver ya MEDIACOM 930 haishiki STARTV,sasa kaniomba tubadilishane recver yaan anipe WIZTECH nimpe ZUKU.Swali langu kwawataalam warecver nikubali au nikatae? Ushauri wenu ni mhim san kwang.