Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,305
- 51,964
Ndio.Unanichekesha sana kijana.
yaani umeanza meditation kupitia JF?
kweli Dunia imejaa vituko
kesho unaweza kujifunza na udaktari humu humu.Ndio.
Nini chaajabu hapa kwani? Meditation nimeijulia jamiiforum na baada ya kufuatilia ndio nikajua zaidi kuihusu
Mbali na nnachokijua najua kuna mambo mengi siyajui! And that's where my wisdom lies!Hujajibu swali langu mkuu. Ni kitu gani unachokijua tofauti na ulivyofundishwa?
ni kweli kabisaIts only in Jamiiforums where any tom,dick and harry can be an expert
Yaani kuna watu wao huwa wapo standby kuja kuchukua kila kinachoandikwa humu... Hawataki kabisa kufikiria. Na hili ni kundi kubwa sana ambalo utaliona kila siku linasema "nashukuru nmejifunza kitu, ukiandika tena nitag" unajifunza kila kitu kwa kila mtu we umekuwa funza?
.
Jicho la tatu dili kuuubwa saaana mjini. Lifungue watu walifumue ndo utanielewa.
NB, fumbua jicho la tatu watu wachomeke ndaniiii baada ya kufyekerea mbali marinda ya sketi.
Ukienda sehemu ukaandaliwa chakula kizuri ukala ukashiba; ukifika nyumbani uka-apply hayo mapishi sio kwamba umebeba chakula toka huko ulikoenda. Ikumbukwe kuwa hakuna jambo jipya chini ya jua. NImetoa kama ushuuda baada ya kufundishwa na member mmoja hapa JF
Ukienda sehemu ukaandaliwa chakula kizuri ukala ukashiba; ukifika nyumbani uka-apply hayo mapishi sio kwamba umebeba chakula toka huko ulikoenda. Ikumbukwe kuwa hakuna jambo jipya chini ya jua. NImetoa kama ushuuda baada ya kufundishwa na member mmoja hapa JF
Ahsante kwa ushauri, naendelea kujifunza mkuu ila ushuhuda kwa niliyoyaona ndo huuuuuMkuu Tutor B kuna zaidi ya fourth dimension unayoizungumzia,
==>Kingine huwezi ukafungua 3rd eye kwa shortcut ya dakika 6 ndani ya wiki 2 maana katika meditation hakuna quick fix kwani ni aina ya maombi pia.
==> unapozungumzia 3rd eye opening ni mpaka uwe umepitia kuanzia kwenye chakra za mwanzo ambazo zipo kwenye lower vibration..
==>unahitaj uangalizi wa mwalimu ktk spiritual journey yako.
RISK:
- Unaweza kupatwa na kuumwa kichwa kwa muda mrefu kwani energy itakua ina flow bila kuwa controlled
- unaweza kuungua eneo la ngozi ya katikati ya macho
- kama haufahamu matumizi ya sandalwood kwa hapa na bila yogi/guru sijui itakuaje
3rd eye=pineal gland ambayo iko very sensitive kwa fluoride mwishowe hormones kama serotonin haziwi released ...
Go back to Mshanajr and finish ur H/W.
Tatizo woga!hakuna kitu kama hii Bro. hizi ni ndoto ambazo Holywood wamezipandikiza ktk vichwa vya watu.
asilimia 99 ya maneno ya watabiri wote na waganga wote NI UONGO.
Nimefanya Research miaka chungu mbovu.
Usipoteze muda wako kuzigeuza hizi fictions kuwa Reality. Hizi habari za 4 Dimension ziwache kwenye movie's tu. kinyume cha hapo utapoteza muda wako huenda ukadhurika kwa kulishwa UCHAFU na sumu na waganga wa kienyeji.
Jaribu kwanza ..Nini maana ya haya maneno MEYIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIIIII ??? Na kwanini ni lazima useme haya maneno wakati ukifanya hayo mazoezi ya kufungua hilo jicho la tatu????
Unaweza ukawa unayaita "mapepo" bila kujua, shauri yako.
Nimepitia post zenu wote nawashukuruni kwa kusoma ila kuna mambo ya kujiuliza ...
1. Watoto wadogo wana uwezo wa kuona yale ambayo watu wazima hawaoni .. kwa nini?
2. Wanyama / ndege wana uwezo wa kuona vitu ambavyo binadamu hawezi kuona ... kwa nini?
3. Kila ikifika saa saba usiku ni kwa nini mbwa wote huwa wanalia? (sio kubweka)
Mambo ya kiimani ni kama number line ... kuelekea kushoto mwa 0 ni hasi (shetani) .. kuelekea kulia mwa 0 ni chanya (Mungu). Kutokujiuliza maswali ndo sababu kubwa ya kutoweza kutumia akili ulizopewa walau kwa asilimia hata 50.
Mtu aliyezaliwa na ulemavu wa pua (hahisi harufu) hawezi kuamini kama unaweza kujua kuwa jirani ameandaa chakula fulani kwa kuhisi harufu ya chakula hicho.Hapa kuna kenge bado watabisha...jitu linakariri Google na elimu yake ya darasani...maza fanta