teh teh teh....nilijua tu nyie wavaa visuruali vifupi ni short sight mno...mnachojua na kuamini ni jua kuzama matopeni tu
....hamko tayari kabisa kupokea elimu mpya vichwani mwenu..hopeless kabisa nyie
Nilivyofundishwa na nani?kuhusu nini? Hicho unachokijua wewe hukufundishwa? Ulikijuaje? Na ni nini kingine unachokijua tofauti na hicho unachokijua/ulichofundishwa?Kitu gani unachokijua zaidi ya ulivyofundishwa?
...jamaa katumia muda mwingi kuandaa hii thread halafu unakuja pinga kwa hoja mfu....inakera sana kupinga jambo kwa research fekiteh teh teh.
yaani Mimi kuvaa suruali fupi wewe tayari umenuna.
Vipi IGWE mumeo ana wake wawili au?
acha wivu wa kitoto.
suruali fupi nivae mimi jazba upate wewe, halafu unaniita hopeless.
halafu elimu gani iliopo hapa ambayo ungependa na sisi wavaa suruali fupi tujifunze? kuona kwa jicho la tatu au?
Hivi hilo jicho la tatu haliwezi funguka mpaka ukae sehemu iliyotulivu na kufumba macho....au hakuna njia nyingine zaidi ya hii.mkuu naona kama aujamuelewa mtoa mada vizuri kutokana na yeye kajichanganya kidogo alivyoanza na mambo ya 3D na 4D za kisayansi zaidi lakini mwisho wa uzii ameenda kwenye point yake mambo ya kumeditate na mjicho wa tatu sijui
Dunia ina mambo mkuu kwa habari ya jicho la tatu alilo lizungumzia mtoa mada ni kweli kabisa inawezekana na ukiwa na nia ya kulifungua ilo jicho litafunguka tu na utaona madudu ya ajabu ajabu
Hujajibu swali langu mkuu. Ni kitu gani unachokijua tofauti na ulivyofundishwa?Nilivyofundishwa na nani?kuhusu nini? Hicho unachokijua wewe hukufundishwa? Ulikijuaje? Na ni nini kingine unachokijua tofauti na hicho unachokijua/ulichofundishwa?
kuna binaadamu wengine Mungu kawaumba kuwa sababu ya kuchafua mazingira tu na mfano mzuri ni huyu anaejiita LUCKDUBE as if he is one of Lucky one.Mbona upo nje ya Mada
hujajibu lolote ila umemkashifu kuwa jamaa hajui lolotwe kuhusu 4D
mwenzako kasema ACHENI KUTULETEA UONGO
na ni kweli hamjagusia 3D wala 4D
mnatuletea YOGA mara sinema
kwanini usiingie Google au Wikipedia
kupata maana ya 3Dimension au 4Dimension
ni tofauti kabisa na hizo YOGA
View attachment 884944
hio research feki umeiona wapi IGWE?...jamaa katumia muda mwingi kuandaa hii thread halafu unakuja pinga kwa hoja mfu....inakera sana kupinga jambo kwa research feki
Hio ni Hallucination Bro.Hivi hilo jicho la tatu haliwezi funguka mpaka ukae sehemu iliyotulivu na kufumba macho....au hakuna njia nyingine zaidi ya hii.
Niliwahi kusoma kitabu kimoja kinaitwa 'The witch of Potobelo' walikuwa wanaingia kwenye hall flani wanawasha mziki na kuanza kucheza kwa hisia Kali mpaka wanajikuta wapo kwenye ulimwengu mwingine nadhani nayo hii ni Meditation
Mi naogopa hapo tu kushindwa kurudi na kuanza maisha mapya na viumbe vya ajabuwatu wabishi tukutane Meyi, Meyi Square lol,ngoja tushindwe kurudi,lol
Mi naogopa hapo tu kushindwa kurudi na kuanza maisha mapya na viumbe vya ajabu
Nakataa mkuu, hii kitu ni kweli na haiusishwi na imani potofu hata kidogo, binafsi ni shaidi nimefanya sana meditation kipindi tunajifunza shoulin kung fu mkuu, hakuna uchawi katika hili nasisitiza, kama hujawahi jaribu na haijawai kutokea utaamini hivyo ila ukiielewa vizuri kiukweli iko poa sana, inaongeza nguvu za akili mwili na roho!! Siyo kila unayemwona mnaishi naye katika ulimwengu mmoja wapo watu wanaoishi katika maeneo mengine tofauti ila kimwili ndo wamuona bongo!! Usipotoshwe kuna mengi katika dunia fungua kichwa kuwa tayari kujifunza, kizuri chukua kibaya tia kando!!!hakuna kitu kama hii Bro. hizi ni ndoto ambazo Holywood wamezipandikiza ktk vichwa vya watu.
asilimia 99 ya maneno ya watabiri wote na waganga wote NI UONGO.
Nimefanya Research miaka chungu mbovu.
Usipoteze muda wako kuzigeuza hizi fictions kuwa Reality. Hizi habari za 4 Dimension ziwache kwenye movie's tu. kinyume cha hapo utapoteza muda wako huenda ukadhurika kwa kulishwa UCHAFU na sumu na waganga wa kienyeji.
Nimekwambia hii kitu ya Kuhama ulimwengu Physically HAIPO ndugu.Nakataa mkuu, hii kitu ni kweli na haiusishwi na imani potofu hata kidogo, binafsi ni shaidi nimefanya sana meditation kipindi tunajifunza shoulin kung fu mkuu, hakuna uchawi katika hili nasisitiza, kama hujawahi jaribu na haijawai kutokea utaamini hivyo ila ukiielewa vizuri kiukweli iko poa sana, inaongeza nguvu za akili mwili na roho!! Siyo kila unayemwona mnaishi naye katika ulimwengu mmoja wapo watu wanaoishi katika maeneo mengine tofauti ila kimwili ndo wamuona bongo!! Usipotoshwe kuna mengi katika dunia fungua kichwa kuwa tayari kujifunza, kizuri chukua kibaya tia kando!!!
Haya mambo huyaelewi ndio maana unasema ni uongomkuu hakuna sehemu nimekataa kuwa Dunia hii ina mambo ya ajabu. tena ajabu sana.
kuna mambo nimekutana nayo ktk maisha yangu huwezi kuyaingiza kwenye science yakakubalika hata kidogo.
na kuhusu Jicho la tatu nakuhakikishia kwa asilimia 100 kuwa HUWEZI KUONA UHALISIA WWT bali utakachoweza kuona ni Uongo mkubwa na ukweli kidogo mno. na hii ni Kazi ya Majinni.
Watu wengi Duniani wamekuwa wakitumia majinni kutazama mambo yao na ya wengine sehemu mbalimbali Duniani.
Na Haya mambo yanafanyika DUNIA NZIMA.
Lkn kusema ukae peke yako ufanye meditation kisha uone bila kuingiza Ushirikina Hio kitu hakuna kaka.
unless uwe ktk influence of Drugs au mitishamba mikali inayosababisha akili ihame ktk Ulimwengu usiojulikana. na utakachokiona ni ktk yale yale uluokuwa ukitamani kuyaona.
hii wanafanya sana watu wa North America.
nimeona watu wa Peru,Na Pande za Bolivia ati wakitaka kutatua matatizo yao wanakunywa mitishamba flani kisha wanaongea na mizimu. kumbe zile zote ni Hallucination tu zinazotokana na ile mitishamba lkn Hakuna ukweli wwt ndani yake.
Ni sawa na mvuta bangi kavuta bangi kali kuliko zile alizo zoea kisha akaanza kuona maisha yake yoote yametengemaa kumbe bado anapiga debe kwenye daladala.
Haya mambo huyaelewi ndio maana unasema ni uongo
Wengine huku tumeyaxperiece wenyewe kupitia kusoma tu tena humu humu jf mkuu
Achana na maisha kabisa
Kabla Hollywood haijawepo haya yalikuwepohakuna kitu kama hii Bro. hizi ni ndoto ambazo Holywood wamezipandikiza ktk vichwa vya watu.
asilimia 99 ya maneno ya watabiri wote na waganga wote NI UONGO.
Nimefanya Research miaka chungu mbovu.
Usipoteze muda wako kuzigeuza hizi fictions kuwa Reality. Hizi habari za 4 Dimension ziwache kwenye movie's tu. kinyume cha hapo utapoteza muda wako huenda ukadhurika kwa kulishwa UCHAFU na sumu na waganga wa kienyeji.
naomba ushahidi tafadhali.Kabla Hollywood haijawepo haya yalikuwepo
Achana na Nyerere, kabla hata Afrika haijagawanywa haya yalikuweponaomba ushahidi tafadhali.
Holywood imeanza nyerere hajazaliwa
Unanichekesha sana kijana.Achana na Nyerere, kabla hata Afrika haijagawanywa haya yalikuwepo
Nitajitahidi nifungue uzi wake