Ulimwengu wa 3D na 4D

Vitu vingine ni vya ajabu mtu una bisha bisha tu badala ya kujaribu ujionee wewe unaleta ubishi. Hebu jaribuni kwanza mkipate mnachokitafuta.
Kubisha ni njia mojawapo ya kutaka kupata ufumbuzi na ufafanuzi zaidi juu ya jambo fulani na wengi humu wamekua wakiitumia hiyo njiaa
 
Kubisha ni njia mojawapo ya kutaka kupata ufumbuzi na ufafanuzi zaidi juu ya jambo fulani na wengi humu wamekua wakiitumia hiyo njiaa
Mkuu kuna kubisha na kutaka kujifunza ili kujuwa. By the way jaribu kusearch kwenye google hilo neno huenda ukaelewa maana yake kuna site wameelezea ikiwa kama abbreviation ila inaonekana asili ya hilo neno ni huko kwenye mapyramid kwa mafaraoh
 
Mkuu kuna kubisha na kutaka kujifunza ili kujuwa. By the way jaribu kusearch kwenye google hilo neno huenda ukaelewa maana yake kuna site wameelezea ikiwa kama abbreviation ila inaonekana asili ya hilo neno ni huko kwenye mapyramid kwa mafaraoh
Sawa mkuu haina shida nitajitahidi kufatilia ili nielewe zaidi
 


Hata hili la kutekwa MO lingepata ufumbuzi?
 
Ukishautambua huo ulimwengu wa 4D kipato kitaongezeka kwa milioni ngapi kwa mwezi?? Au nitaweza kugundua pia dawa sahihi ya corona??
 
sikilizen zile birunary?! beats 432 hz wiki tu uje na mrejeshoo ni nzur kama ulisha anza ukaacha lakin kama ndo unaanza labda uvute bange
 
Umempa ukweli mtupu, yaani kuna watu niwabishi ilimradi kukatisha wengine wasielewe
 

Attachments

  • Screenshot_20230228-173024_1.jpg
    59 KB · Views: 20
Unajua kila mtu anaishi katika sehemu mbili; katika ulimwengu wa 3D na katika ulimwengu wa 4D. D= Dimension. / mwonekano
Kaka dimension hazijumlishwi hivyo kirahisi. Kanuni yake ni;
N (jumla idadi ya dimension) = N! + 1

So kuna dimension mbili katika reality sifuri(2D), 0!+1 = 2D

mbili katika moja(Also 2D) 1!+1 = 2D

na tatu katika mbili(3D hii tuliyonayo). 2!+1= 3D

Sasa 4D haipo kwa sababu ukiongeza tu vitu vikawa vitatu tayari unapata dimension saba (7D) maana;
3 realities produces 3! + 1
= 3x2x1+1
=7
=7D
Inayofuatia hapo ni 25D😳😳😳 imagine.
Sasa kwa kuwa kuna gape kubwa sana linalohitaji uwezo wa juu kutambua dimension inayofuata ndo maana wachache tu wanaoiperceive 7D achilia mbali kuiishi. Kaz kwerikweri. Nnawasilisha maoni na code zangu, ruksa kuzibishia.
 
Kuwa makini na kuita MEYIIIII. Unajua unamwita nani katika ulimwengu wa roho?! Akija utasema jicho la 3 limefunguka kumbe umeingiliwa na roho mchafu na unaweza kuteseka sana kumwondoa.
a
 
Muwe waangalifu sana na New Age Movement na takataka zake zilizopambwa na kuonekana kuwa nzuri. Kuna mengi yamefichwa humo kijanja sana na lengo lake sio zuri!
 
Wewe mwenyewe poyoyo tu.
Mleta Mada Hakuna Sehemu amenwambia mtu aende kwa mganga .Sasa unapohusisha mada yake na uganga unakuwa hueleweki
 
Hivyo ndio maana ancient civilizations zilikuwa ziko juu kwa kiasi kubwa kuliko sisi kiroho hata maendeleo ya kawaida, uwezekano wa ku access frequency nyingine upo kabisa, tunaweza kabisa kuwa na consciousness ya Hali ya juu ila Sasa tumefungwa na pilikapilika nyingi za Dunia kiasi ambacho tunakuwa wageni na nguvu tulizonazo ndani ya miili yetu.
 
Mkuu umemweleza vzur mno
 
Mkuu una unahakika na unachozungumza au ni story za kusikia tu
 
Watu wamechukua mambo ya kufikirika kwenye vitabu vya dini miaka nenda rudi , meditation
ni kitu kipo ata kabla ya dini mkuu
 
Fact tupu umeongea
 
Elimu ni nini boss?, Kuna aina ngapi za elimu ? maana kama elimu ni kusoma( ukiwa na maana ya vitabu) vitabu vipo vya aina nyingi na vingine havifai, na kila mtu ana uwezo wa kuandika kitabu mchawi, mganga, pastor, dr, mwnasiasq....nasema hivyo kwa sababu tumejigawa kwenye matabaka ya wale walioingia darasani na kukutana na mitaala waliyopangiwa na kundi flani la watu kujiona tuna maarifa kuliko wengine, na kunafanya tujione bora...wakati katika uelewa huwezi elewa kila kitu....ukiwa mzuri jikoni utakuwa mjinga garage, (namaanisha huwezi kujiita mwenye elimu katika kila kitu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…