Ulimwengu umeniendea kombo

Mkuu thijasoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa umshukuru Mungu kwamba una nguvu na afya bado!
Kuna jamaa mmoja nae analalamika hivyo ila alikuwa anaumwa miguu, imekatwa yote, hajui pa kuanzia, kuna mwingine bado hajaoa/ hajaolewa na hana watoto bado kaambiwa kuwa ameathirika na H.I.V, kapagawa!
Wengine ndo hao waliwekeza ktk nyumba, nyumba zao zinabomolewa, kazi hawana, na familia zinawategemea, ni karaha kwenda mbele!
Hivyo, shukuru Mungu una uzima na uwezo wa kujiinua mwenyewe, watu unaoposhana nao barabarani wana shida tofauti kubwa sana, ukizisikia na zao utaona wewe ni afadhari, hivyo piga moyo konde, keep on moving!!
 
well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…