Magufuli ameshauriwa aache tabia ya kukariri kilomita za barabara na kupiga kelele majukwaani, badala yake atoe hoja na kusimamia ujenzi wa barabara zenye viwango na siyo kama ilivyo ile ya Mlandizi - Chalinze iliyojaa manundu!
Magufuli upooo!
Huyu Mzee ni anather Joker!! Takwimu zote anazotoa Huwa ni Magumashi!! Just to win Majority with wrong information. Fikiria anawaaminisha Watanzania Dar Es salaam ina Magari zaidi ya 1,000,000. Huu ni uwongo na upuuzi uliopindukia!! Kwa nini asiende Hata Uko TRA kupata taarifa sahihi kama anaona kuna haja ya kutoa hizo Takwimu? Traffic Counts zote za barabara kubwa za Dar in 24 hrs traffic counts zinaonyesha barabara zote Kubwa zina Capacity ya Magari 14,000 tu!! Barabara zenyewe ni Morogoro, Nyerere Kilwa na Bagamoyo!! Kwa Hilo Inaonyesha Dhairi Dar es Salaam Haina Magari Zaidi ya Laki Tatu!! 300,000!! Na kama kungekuwepo na hayo magari 1,000,000 ina maana kila watu 40 mmoja ana gari Kitu ambacho sio Kweli kwani Population Kubwa ya nchi ni wanafunzi na wakulima!! Shame on You Mropo......