Ulimwengu katumwa na Kikwete. DK. Slaa alishajifunza sana miaka kingi iliyopita. Kwanza, ninyi mnaotaka kumpa heshima huyu kibaka mnaitoa wapi? Unajua huyu akiwa mkuu wa wilaya ndiye aliyezuia mkutano wa kwanza wa mageuzi, hadi pale wanaharakati kama Mabere Marando, Ndimara Tegambage, Anthony Komu walipojitokeza na kupinmga udhalimu wake?
Wanaharakati hao waliandika waraka kwenda nchi za Magharibu na nakumbuka rais wa wakati huo, Ali Hassani Mwinyi aliruhusu wanamageuzi kukutana alipokuwa uwanja wa ndege wa Dar es Salaam akienda ulaya kuomba misaaada baada ya kubanwa na wafadhiri. Sasa huyu Ulimwengu analipi la kujivunia.
Pili, Ulimwengu alikuwa mwenyekiti wa kampuni kubwa - Habari Copr - ikamshinda na badala yake akaiuza kwa fisadi Rostam. Sasa mtu aliyeshimdwa kuongoza watu 200 atawezaje kumshauri rais ajaye?
Anachotaka kukionyesha Ulimwengu hapa ni kwamba Slaa hajakomaa kwa urais hivyo ajifunze. Hili si kweli. CV ya Slaa ni kubwa kuliko yeye na kimsingi Slaa amekuwa kiongozi mkubwa wa madhehebu ya dini, mbumge na katbu mkuu.
Ulimwengu aondoke na pumba zake arudishe jibu kwa Kikkwete - Hatudanganyiki. Angekuwa mrtu wa maana Mkapa asingemvua uraia.
ukweli mnaoukubali ni ule unaowafurahisha.slaa hana uwezo wa kuongoza nchi,hana elimu itakayowanufaisha wananchi zaidi ya kisomo cha sheria za dini

Akijipa muda wa kujifunza zaidi na kukusanya maoni, na kujenga mitandao ya utafiti itakayowahusisha wataalamu wa kumshauri na kukishauri chama chake, akichukua muda kujadili matatizo ya nchi hii na makundi mbali mbali ya kijamii katika shughuli zao mbali mbali na wakamweleza matatizo yao; naye akajadiliana nao... atakuja kugundua kwamba hakuna muda wa kutosha kwa ajili ya maandalizi hayo.
[/COLOR][/FONT]
[/B][/SIZE]
Mkuu ndio maana nimekuomba acha siasa za majitaka. Huna tofauti na wale wanaodai kwamba DR.Slaa kafukuzwa Upadre atawezaje kuongoza nchi, hali hao hao wanaendelea kudai Dr.Slaa ni Padre hafai kuwa rais!Jibuni hoja, badala ya kunishambulia. Nimesema Ulimwengu ameshindwa kuendesha kampuni yake ya watu 200 atawezaje kumshauri rais mtarajiwa? Tatizo lenu mnashabikia watu msiowajua. Mtu mwenye uraia wa kuandikishwa atakuwaje mzalendo? Huyu jamaa namfahamu ni mbinafsi kupindukia.
Alipokuwa habari alishindwa hata kulipa mishahara ya wafanyakazi wake. Baadaye kampuni ikazidiwa na mzigo wa madeni. Ikafilisika.
Pamoja na kupewa mtaji na Mkapa na marafiki zake - kabla ya Mkapa hajaamua kumuanika kwa kumtangaza kuwa si raia - tayari Jenerali na wenzake - Salva na Mwambo walishashindwa kuendesha kampuni.
Wafanyakazi wakawa hawalipwi kwa wakati, huku yeye akisafiri kila mwezi kwenda kwa mkewe Afrika Kusini. Naye Salva akawa anaenda Uingereza kwa mkewe. Haikuchukua muda mambo yakaenda kombo.
Alipoingia Kikwete madarakani akaanza kujipendekeza kwa kuandika maka ndefu alizozipa kichwa cha maneno, "Barua ndefu kwa Rais KIkwete." Leo eti anakuja kutaka kumshauri Slaa na kujita mwanademokrasia. Mwanadipromasia gani anayezuia mageuzi? Aaache kujipa sifa asizokuwa nazo., kampuni taya
ni ushauri mzuri sana kwa rais ajaye!!