Ulimpigia kura?

Ndio hata mimi nilimpigia kura, tena kwa kishindo, alikuwa ndie chaguo langu pekee! hata akigombea tena 2020 "nitampa"
Nakupenda sana mgombea wangu, nakupenda sana baba, naahidi sitakutupa kamwe! nitakupenda sana mtu wangu
NANI KAMA HASHIM RUNGWEEEEE!
 
hata mimi nilimpigia kura na sijutii anayofanya ndio nilikua nawaza kama nikipewa urais ntafanya nini jamaa ni the best japokua ni hot tempered
 
Kupanga foleni alaf matokeo wanapanga wanavyojua wao. Ntapiga kura pindi tukianza kukiwa na utaratibu wa online
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…