Ulimpataje best friend wako?

Ulimpataje best friend wako?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,760
Reaction score
3,858
Aisee

Sijawai kuwa na best friend ila napenda kama niwe na best friend! Nakuaga tu na marafiki ambao tunaunganishwa na masomo, kazi, tukio fulani.

Actually mm n mtu wa kivyangu vyangu napenda kufanya vitu vyangu mwenyewe ,n mgumu kumshirikisha mtu mambo yang na nina trust issues!!

Lakin nakuaga na marafiki tunaoiva baada ya muda nikigundua mtu anatabia fulan ambayo siipendi naepukana nae? So imenifanya nisiwe na rafiki wa kudum au best friend Best friend n mtu au rafiki yako
  • wa all season
  • hamuunganishi na tukio
  • hamtenganishwi na umbali au kazi au fan
Yaani ni mtu ambae kwako anakua zaidi ya ndugu mnaendana tabia na mapendeleo na kusaidia unamfaham vizuri na yeye anakufaham vizuri.

Actually hamfichani kitu!!

Nasikiaga watu wanabest friend mi sijawai pata wala kumuona mtu wa hivo kwangu!!

We ulimpataje best friend?

NB:syo mpenzi wala ndugu
 
Best friend unamtengeneza wewe mwenyewe,

Unavyosema ukigundua anatabia fulani unadhani unaeza kupata ambae kakamilika,

Sifa ya best friend muwe na chemistry tu baina yenu,

mnaelewan kwenye mambo mengi,
Lafu kati ya marafiki zako wote kuna yule ambae unampenda kuliko wengine uyo anaweza akawa ndo best friend wko tengeneza ukaribu nae mwishoe mnakua marafiki wazuri tu.
 
Unahitaji rafiki,
Omba mungu akupe utafurahia sana,
Raha ya urafiki inaweza kupita mahusiano, kugombana kunaweza kuepo au kusiwepo kabisa,
Rafiki wa kweli anakujag automatically, utashanga tu mnabond haijalishi jinsia.
😀😀
Na uzee huu sidhani Kama nitapata rafiki..Mungu aingilie kati
 
Mimi tulikutana kwenye daladala tukiwa tunaenda interview basi la mwenge posta lilipofika moroco basi likaharibika na condakta akakimbia kurudisha nauli ilikuwa nipande likaharibikia kituoni.

Huyo kijana Akawa analia kuwa anaenda interview kule kule Mimi nlikuwa naenda kufanya interview hana nauli ingine nikambwambia usijali na mimi naenda nitakulipia. Kweli ikaja UDA tukapanda nikalipa

Tukafika posta tukashuka akasema nisubiri nakuja Toa photocopy za vyeti nipe nikatoa nikampa sikujali sababu muda wa interview ulikuwa bado sana na japo simjui sikujali sababu hakuchukua vyeti original

Baada ya muda akaja na mtu mzima pale nilikuwa akasema twende pembeni akaniambia maswali yote yatakayoulizwa interview na majibu

Kuingia nikamkuta nikajikausha kama simjui maswali yote nikakuta yaleyale nikayajibu vilevile nikapata kazi kumbe alikuwa mjomba wake

Hadi leo yeye simhesabu kama best friend bali ndugu
 
Aisee

Sijawai kuwa na best friend ila napenda kama niwe na best friend! Nakuaga tu na marafiki ambao tunaunganishwa na masomo, kazi, tukio fulani.

Actually mm n mtu wa kivyangu vyangu napenda kufanya vitu vyangu mwenyewe ,n mgumu kumshirikisha mtu mambo yang na nina trust issues!!

Lakin nakuaga na marafiki tunaoiva baada ya muda nikigundua mtu anatabia fulan ambayo siipendi naepukana nae? So imenifanya nisiwe na rafiki wa kudum au best friend Best friend n mtu au rafiki yako
  • wa all season
  • hamuunganishi na tukio
  • hamtenganishwi na umbali au kazi au fan
Yaani ni mtu ambae kwako anakua zaidi ya ndugu mnaendana tabia na mapendeleo na kusaidia unamfaham vizuri na yeye anakufaham vizuri.

Actually hamfichani kitu!!

Nasikiaga watu wanabest friend mi sijawai pata wala kumuona mtu wa hivo kwangu!!

We ulimpataje best friend?

NB:syo mpenzi wala ndugu

Nachoamini ni Mungu pekee anayeweza kukutanisha na best friend na wala sio kutafuta mwenyewe
 
Back
Top Bottom