Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
We bina, mbona kama umeandika kimbea mbea hivi?Ulimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali,anapendwa pamoja na mwanao,na mtoto wako yupo ana go kwa school bus 🚌
na analipiwa ada kubwa ,lea mwanao ofsa starehe zipo tu,ladies Mungu awatie nguvu.
🤣itakuwa dubwana lilitupa mtoto lipo humuWe bina, mbona kama umeandika kimbea mbea hivi?
Ni suala la muda tu, atapasha kiporo tu..!! Si unajuwa tena kiporo hakihitaji moto mwingi..!!Nipo nae ananiita dady siku hizi ofsa 😅
Muda ukifika uje tena, usione aibu kutuambia tutakushauri.
Wazazi hawaachani
Bado naendelea kupasha kiporo
😅 wew lea huyo mtoto wa mwanaume mwenzako ukiamini katelekezwa, si bure hata hao wengine unao amini ni wako amekuchomekea tu, mkeo anakudanganya baba yake hana mawasiliano naye kumbe kila weekend wanakutana wanatombana...
Single mother unateseka ukiwa wapi!
Pana binti alikuwa anafanya Kazi hotel keeper fulani kajibana kapanga chumba chake kajaza KILA kitu kapata mtu kamjaza mimba, plus mateso juu , binti kaenda kwao kujifungua msela kakomba kila kitu kaondoka.
Binti kaanza upya kea kujikongoja mtoto kawa mkubwa, hotel kafika mbongo toka nje kamuelewa binti lengo kumuoa anamuhudumia binti kampangia nyumba nzima KILA kitu mbongo mtu wa kusafiri, binti badala ya kumlindia heshima sponsa, kamrudia kisiri aliyemzalisha na kumtesa.
Atakosa pote sponsa akisikia atakula konaHiyo ndio mbaya sasa
Lijinga hilo...halitumii akiliPana binti alikuwa anafanya Kazi hotel keeper fulani kajibana kapanga chumba chake kajaza KILA kitu kapata mtu kamjaza mimba, plus mateso juu , binti kaenda kwao kujifungua msela kakomba kila kitu kaondoka.
Binti kaanza upya kea kujikongoja mtoto kawa mkubwa, hotel kafika mbongo toka nje kamuelewa binti lengo kumuoa anamuhudumia binti kampangia nyumba nzima KILA kitu mbongo mtu wa kusafiri, binti badala ya kumlindia heshima sponsa, kamrudia kisiri aliyemzalisha na kumtesa.
Ni wote wako hivyoHii ina tegemea na mentality ya mtu
Wengi wanasema hivyoSi umemkuta rofa asiyejitambua
Sawasawa,kama wengi wanavyosema kama ulivyosemaWengi wanasema hivyo
Wenye akili ni wa kuhesabuLijinga hilo...halitumii akili