B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Sasa we mbona ndo unaumia?
Ndio unamlea mwanangu?
Sitaweza sema NI muda gani Ila kwa speed tuliyo nayo NI muda mchache Sana , atarudi hapa.Tumpe muda gani huyu?
Sawa ofsa, msomeshe na mama yake😀Nipo nae ananiita dady siku hizi ofsa 😅
Tulia singo mazaUlimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali,anapendwa pamoja na mwanao,na mtoto wako yupo ana go kwa school bus [emoji590]
na analipiwa ada kubwa ,lea mwanao ofsa starehe zipo tu,ladies Mungu awatie nguvu.
Analea shahawa zanguTumpe muda gani huyu?
Nashukuru ila jua damu nzito kuliko ww wakuja kwa kid wngUlimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali,anapendwa pamoja na mwanao,na mtoto wako yupo ana go kwa school bus [emoji590]
na analipiwa ada kubwa ,lea mwanao ofsa starehe zipo tu,ladies Mungu awatie nguvu.
Si umemkuta rofa asiyejitambuaWazazi hawaachani
Bado naendelea kupasha kiporo
Shahawa ulizozitupa zikiangaika bila baba😥Analea shahawa zangu
kwa hiyo wewe ndio msemaji wake,? nchi ya hovyo sana hiiUlimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali,anapendwa pamoja na mwanao,na mtoto wako yupo ana go kwa school bus 🚌
na analipiwa ada kubwa ,lea mwanao ofsa starehe zipo tu,ladies Mungu awatie nguvu.
Kama wa yule mabaka aloleta uzi wa mwanawe wakambo kapata kazi sasa hana mpango nae.🤣🤣Tumpe muda gani huyu?