Ulimkomeshaje alipokusaliti?

Ulimkomeshaje alipokusaliti?

2014 alinicheat mrembo nilompnda sana.
kimbembe kilianza after kuishi mbali(yeye yupo chuo mi job), usiku1 nilipiga simu hapokei nilihisi kuchanganyikiwa then nikapga kwa room mate wake akanambia katoka, nikampeleleza akanambia yupo kwa mtu wake, dah! moyo uliripuka nikamwambia asimwambia ka nimemtafta.

asubuh akanitxt "sorry dear nilipitiwa usingizi" nikamwambia taarifa zako ninazo umenicheat, akakataa kataa then akaniomba samahan eti alizidiwa genye, nikakubali kuwa mjinga ili nije mkomesha.

ile siku nzima sikupokea sim yake then nikaweka magic voice, jion akapga nikamwambia mwenye sim kalazwa alipata mshtuko wa moyo, akiwa sawa utazungumza nae.

asubuhi akapga nikaitoa magic voic nikaongea nae akaniomba samahani huku akijuta sana, then akanambia atagharamia matibabu na huduma zote mpaka nipone..
alitumia zaidi ya laki sita kunihudumia after hapo nikamwambia tuachane coz ulitaka niua, alilia sana bt ndo hvo tena nikamwacha kibish japo sikumwambie nilichomfanyia

je wewe ulimkomeshaje alipocheat?
Huyu mtoto atakua wa kishua sana,wa kiswahili hiyo laki 6 angeinya wapi?,au zilikua zinatoka kwa mwizi wako akaambiwa baba anaumwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2014 alinicheat mrembo nilompnda sana.
kimbembe kilianza after kuishi mbali(yeye yupo chuo mi job), usiku1 nilipiga simu hapokei nilihisi kuchanganyikiwa then nikapga kwa room mate wake akanambia katoka, nikampeleleza akanambia yupo kwa mtu wake, dah! moyo uliripuka nikamwambia asimwambia ka nimemtafta.

asubuh akanitxt "sorry dear nilipitiwa usingizi" nikamwambia taarifa zako ninazo umenicheat, akakataa kataa then akaniomba samahan eti alizidiwa genye, nikakubali kuwa mjinga ili nije mkomesha.

ile siku nzima sikupokea sim yake then nikaweka magic voice, jion akapga nikamwambia mwenye sim kalazwa alipata mshtuko wa moyo, akiwa sawa utazungumza nae.

asubuhi akapga nikaitoa magic voic nikaongea nae akaniomba samahani huku akijuta sana, then akanambia atagharamia matibabu na huduma zote mpaka nipone..
alitumia zaidi ya laki sita kunihudumia after hapo nikamwambia tuachane coz ulitaka niua, alilia sana bt ndo hvo tena nikamwacha kibish japo sikumwambie nilichomfanyia

je wewe ulimkomeshaje alipocheat?
Lakini laki sita si ulimpa mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As for me haha I will hit her at the right time and place! She will pay for my tears! I gave her everything! Guys I mean everything, still she kept on cheating... I know she will read here! Dear, at the right time I will get back to you! I will be laughing while you're crying with your family. Thanks

Don't make a promise you can't fulfill...
Familia yake nayo ilikutenda? Mbona wataka uwaumize wote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nlimkutia demu wang niliyekua nampenda sana(huyu dem ni mtamu nouma na anajua namna ya kufanya tukiwa kwenye mgegedo, nlimkutia akiwa njiani na mjamaa mmoja wanaenda kugegedana(hili nililijua baada ya kuwafatilitia nyumanyuma na kuona wanaingia gest) baada ya kuona wanaingia gest nikawa na pupa sana nikavamia ghafla, kumbe dem aliniona akanikimbia fasta naingia room namkuta mjamaa peke yake

NIFUPISHE STORI
Baada ya hilo fumanizi nikampigia simu yule dem akanambia yupo nyumban kwao. Basi mi na yule mjamaa tukaondoka pale gest(sikutaka kumuacha jamaa pale mana dem asije akarudi wakafanya ushenzi wao)

Usiku ule nikampigia yule dem aje gheto(nlipanga nimuache uck ule) dem akaja akaniomba msamaha kwa jambo lililotokea jioni ile baada(lakini baada ya kumbana sana) baada ya msamaha tukapiga show moja takatifu sana adi saa8 usiku ndo nikampiga chini rasmi nikamuambia kuanzia saa hii(saa8 usiku) tusijuane na nikamfukuza maghetoni kwangu
Nakumbuka dem alilia sana lakin sikutaka kumsikiliza, basi akanuomba alale kwangu adi asubuhi ili aende kwao napo nikakataa
Demu alikua anaogopa kwenda kwao usiku ule kwakua ukitaka kwenda kwao kuna njia mbili tu. 1. Upite bonde moja kuna pori flani iviii linatisha au 2. Upite barabara kubwa lakin inapitia makaburini
Jinsi nlivokua mkatili na hasira nlikataa hata kumsindikiza basi demu hakua na namna nyingine zaid ya kuondoka
Nikikumbuka hili tukio hua naumia roho na kumuonea huruma
Demu alirudi kwao vzuri bila kudhurika kwa namna yoyote ile
Hivi ndivyo nlivyomkomesha(kumuacha na kumfukuza gheto saa 8 usiku) baada ya kutaka kunisaliti
 
Huo si ubinadamu hata kama alitaka kukusaliti angepatwa na jambo lolote baya hio guilt ingekutafuna maisha yako yote mpaka unaingia kaburini...

Saa zngne uwe unatumia ubinaadam...

Yeye demu ndo alikuwa na ubinadam?? Abaekusaliti ndo anatumia ubinadam?? Unajua madhara ya kusalitiwa??

1 Kuna kukuletea magonjwa, huo Ni ubinadam??

2 Kuna kukulia njama na lijamaa kukudhuru, huo ndo ubinadam??

3 Kuna kukulia njama za kukufilisi na lijamaa, huo ndo ubinadam??

Usiwe unawaza kwa kutumia matako

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Siku moja nilipewa story zake kuwa anani'cheat,,nikachukua Pikipiki nikampakiza tukaelekea kwenye jumuiya maana Baba ake na Mama ake walienda kusali kule,,ile tunafika tu namshusha wanadhani labda nimemleta ajumuike nao kwenye kusanyiko lile,si nikaanza kumla mate uku namtomasa dodo zake,,alinisukuma akaanza kulia nikapanda pikipiki yangu nikaamsha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all angesikia kesho yake dem amebakwa na kuuwawa angejisikiaje? Putting someones life at risk...
Na inaonekana mkey unakuwasha ndo maana huna ubinaadam...
Yeye demu ndo alikuwa na ubinadam?? Abaekusaliti ndo anatumia ubinadam?? Unajua madhara ya kusalitiwa??

1 Kuna kukuletea magonjwa, huo Ni ubinadam??

2 Kuna kukulia njama na lijamaa kukudhuru, huo ndo ubinadam??

3 Kuna kukulia njama za kukufilisi na lijamaa, huo ndo ubinadam??

Usiwe unawaza kwa kutumia matako

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alinisaliti na kupata mimba then akaolewa baadae akaanza kuniomba msamaha turudiane nikamuambia kama anataka turudiane aachane na jamaa na kweli akaachana nae by that time nilikua mbali mkoa mwingine baada ya miezi 6.

Nikarudi na kumkuta yupo kwao tu ameshaachana na bwana ake, nikafanya counter attack hata sikumgonga nikamuambia ushanisaliti, ukazaa na kuolewa siwezi kua na wewe rudi kwa mumeo bahati mbaya mume wake alikua ashavuta chombo nyingine kaweka ndani.
Now yupo yupo tu kazalishwa mtoto mwingne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye demu ndo alikuwa na ubinadam?? Abaekusaliti ndo anatumia ubinadam?? Unajua madhara ya kusalitiwa??

1 Kuna kukuletea magonjwa, huo Ni ubinadam??

2 Kuna kukulia njama na lijamaa kukudhuru, huo ndo ubinadam??

3 Kuna kukulia njama za kukufilisi na lijamaa, huo ndo ubinadam??

Usiwe unawaza kwa kutumia matako

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
Umeongea kwa hisia sana mkuu dahh.
 
Nambari tatu, she is here hii Slayqueen! Naichora tu, hainujui kuwa nimeshafumbukaa kwa akili. She took that advantage of trusting her for granted....yure yuko interested kumufahamu hii maraya ya humu aje Inbox au nenda kwa Thread yangu ile jinsi Hawara alivyonifilisi
Yeye demu ndo alikuwa na ubinadam?? Abaekusaliti ndo anatumia ubinadam?? Unajua madhara ya kusalitiwa??

1 Kuna kukuletea magonjwa, huo Ni ubinadam??

2 Kuna kukulia njama na lijamaa kukudhuru, huo ndo ubinadam??

3 Kuna kukulia njama za kukufilisi na lijamaa, huo ndo ubinadam??

Usiwe unawaza kwa kutumia matako

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Back
Top Bottom